Wokovu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Wokovu''' kwa jumla unamaanisha kuondolewa hali isiyopendeza.
[[File:Heusler Allegory of Salvation.JPG|thumb|''Mfano wa Wokovu'' kadiri ya [[Antonius Heusler]] ([[1555]]), National Museum huko [[Warsaw]], [[Poland]].]]
{{Ukristo}}
'''Wokovu''' kwa jumla unamaanisha kuondolewa hali isiyopendeza.
 
Kwa namna ya pekee, katika [[Ukristo]] '''[[Historia ya Wokovu]]''' ni wazo la msingi: maana yake ni kwamba katika mfululizo wa matukio [[Mungu]] anawakomboa [[binadamu]] kutoka [[dhambi]] zao na kutoka matokeo yake katika maisha ya duniani na katika [[uzima wa milele]].
 
[[Biblia ya Kikristo]] inatamka kuwa [[neema]] ya Mungu ndiyo inayookoa watu, kwa kuwa hao hawawezi kujikomboa peke yao, lakini wanapokea wokovu kama zawadi kwa njia ya [[imani]].
Line 53 ⟶ 54:
[[Jamii:Biblia]]
[[Jamii:Ukristo]]
 
[[cs:Spása]]
[[da:Frelse]]
[[de:Erlösung]]
[[en:Salvation]]
[[es:Salvación]]
[[fr:Sotériologie]]
[[he:גאולה]]
[[ja:救済]]
[[nl:Verlossing]]
[[pl:Zbawienie]]
[[sv:Frälsning]]
[[vi:Cứu rỗi]]
[[zh:救恩]]