Daraja takatifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:Q662862
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Priestly ordination.jpg|thumb|250px|Askofu anatoa daraja ya [[upadri]] akizungukwa na mashemasi]]
{{Sakramenti}}
{{Ukristo}}
 
Katika [[Ukristo]] vyeo vya [[askofu]], [[kasisi]] na [[shemasi]] vinaitwa pengine '''daraja takatifu'''.
 
Mstari 8:
 
==Jina==
 
Katika [[Kigiriki]] daraja zinaitwa ''taxeis'', na katika [[Kilatini]] ''ordines'', kwa sababu waliopewa wanaunda ''kundi'' moja.
 
==Ibada ilivyo==
 
Tangu zamani za [[Mitume wa Yesu]] mamlaka inashirikishwa kwa tendo la kumwekea mtu mikono kichwani, kufuatana na mfano wa [[Musa]] kwa [[Yoshua]] katika [[Agano la Kale]].
 
Line 18 ⟶ 16:
 
==Anayetoa daraja==
[[Image:Priestly ordination.jpg|thumb|250px|Askofu anatoa daraja ya [[upadri]] akizungukwa na mashemasi]]
 
Kwa kawaida mwenye jukumu la kutoa daraja takatifu ni askofu wa [[jimbo]] ([[dayosisi]]), ingawa [[historia ya Kanisa]] inasababisha maswali kadhaa juu ya jambo hilo hasa upande wa daraja za chini.
 
==Anayeweza kupewa==
 
Ni imani ya [[Kanisa Katoliki]], ya makanisa ya [[Waorthodoksi]] na ya [[madhehebu]] mengine kadhaa kwamba daraja zinaweza kutolewa kwa wanaume tu, kwa sababu [[Yesu]] aliteua watu wa jinsia hiyo tu awape mamlaka yake ambayo inashirikishwa kwa daraja hizo, na kwa sababu ndiyo [[mapokeo]] ya Kanisa tangu mwanzo.
 
Line 31 ⟶ 26:
 
==Hali ya kudumu==
 
Sawa wa sakramenti za [[Ubatizo]] na [[Kipaimara]], katika [[imani]] ya Wakatoliki daraja takatifu zinamtia mwamini [[alama isiyofutika]] ya ki[[kuhani]] aweze kumtolea [[Mungu]] ibada katika [[liturujia]] na katika maisha yake yote.
 
Line 37 ⟶ 31:
 
==Misingi ya imani ya Wakatoliki na Waorthodoksi katika [[Biblia]]==
{{Sakramenti}}
 
Kadiri ya [[imani]] hiyo, daraja takatifu zinahitajiwa kabisa na [[Kanisa]] kwa sababu kazi ya [[wokovu]] haimtegemei [[binadamu]], bali [[Mungu]]. “Hapana mtu ajitwaliaye mwenyewe heshima hii, ila yeye aitwaye na Mungu, kama vile Haruni. Vivyo hivyo Kristo naye hakujitukuza nafsi yake kufanywa kuhani mkuu” (Eb 5:4-5), bali alisisitiza alivyopewa na [[Baba]] uwezo wa kutuokoa. “Baba ampenda Mwana, naye amempa vyote mkononi mwake” (Yoh 3:35). “Kama vile ulivyompa mamlaka juu ya wote wenye mwili, ili kwamba wote uliompa awape uzima wa milele” (Yoh 17:2). Kisha kufufuka alitumia mamlaka hiyo kuwatuma wanafunzi kumi na mmoja waliobaki: “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi. Na tazama, mimi nipo pamoja nanyi sikuzote, hata ukamilifu wa dahari” (Math 28:18-20). Mpaka [[mwisho wa dunia]] uwezo huo wa Kimungu utatolewa tu kwa sakramenti ya daraja, inayounganisha mtu na Mitume kupitia mlolongo usiokatika wa kuwekewa mikono ili kushirikishwa [[mamlaka]]. Bila yake, kuna upungufu katika ufundishaji, utoaji wa sakramenti na uongozi.
 
Line 53 ⟶ 47:
 
==Vyeo vingine visivyo sakramenti==
 
Katika madhehebu mbalimbali kuna vyeo tofauti na daraja takatifu, ambavyo vilianzishwa na Kanisa kulingana na mahitaji ya mahali na nyakati, kama vile vya [[Patriarki]], [[Kardinali]], [[Askofu mkuu]], [[Korepiskopo]], [[Paroko]], [[Vartan]], [[Mwenyekiti]] n.k.
 
Line 59 ⟶ 52:
 
Imani ya Kanisa hilo ni kwamba cheo hicho, ingawa si sakramenti, ni mpango wa Yesu aliyetaka mitume wake wawe kundi moja chini ya Petro, hivyo waandamizi wao wawe kundi moja chini ya mwandamizi wa Petro, yaani maaskofu wote duniani wawe kundi moja chini ya mkuu wao, askofu wa Roma.
 
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Category:Liturujia]]
[[Category:Sakramenti]]
 
[[de:Ordination#Kirchen katholischer und orthodoxer Tradition]]