Ndoa (sakramenti) : Tofauti kati ya masahihisho

28 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q2353190 (translate me))
No edit summary
{{Sakramenti}}
[[Picha:Bologna marriage.jpg|thumb|left|200px]]
{{Ukristo}}
 
'''Ndoa''' kati ya [[Ubatizo|wabatizwa]] wawili inahesabiwa na [[Kanisa Katoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama mojawapo kati ya [[sakramenti]] saba zilizowekwa na [[Yesu Kristo]].
 
 
==Fumbo la ndoa==
 
Kadiri ya mpango wa [[Muumba]], ndoa halisi ina sifa tatu: umoja, uimara na utayari wa kuzaa. “Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke, akasema, ‘Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja?’ Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe” ([[Injili ya Mathayo]] 19:4-6). “Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, ‘Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha’” ([[Mwanzo (Biblia)|Mwanzo]] 1:28). [[Mitara]], [[uzinifu]], [[talaka]], [[ushoga]] na kukataa [[uzazi]] ni kinyume cha mpango huo.
 
 
==Adhimisho la sakramenti ya ndoa==
{{Sakramenti}}
 
Ndoa ya Wakristo ni sakramenti ya Yesu na Kanisa lake. “Njoo huku, nami nitakuonyesha yule Bibi arusi, mke wa Mwanakondoo” (Ufu 21:9). Wakiwa na ndoa halisi, mume na mke waliobatizwa ni ishara wazi ya hao wanaarusi wawili wasioonekana. “Kama vile Kanisa limtiivyo Kristo, vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo. Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake” (Ef 5:24-25). Ndiyo sababu Mkatoliki hawezi kufunga ndoa bila ya kuhusisha Kanisa na kufuata taratibu zake.
 
 
==Kubariki ndoa kwa Waprotestanti==
 
[[Martin Luther]] aliona sakramenti sharti iwe alama iliyowekwa na Yesu Kristo mwenyewe, lakini [[ndoa]] ni sehemu ya utaratibu wa [[uumbaji]] uliotangulia kuja kwa [[Yesu]].
 
 
==Viungo vya nje==
 
*[http://www.vatican.va/holy_father/leo_xiii/encyclicals/documents/hf_l-xiii_enc_10021880_arcanum_en.html ''Arcanum''] Barua ya [[Papa Leo XIII]] kuhusu Ndoa ya Kikristo
 
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Jamii:Liturujia]]