Upangaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 27 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q379755 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 1:
{{fupi}}
'''Upangaji''' au '''Urekebishaji''' ni kazi ya kupanga upya sehemu ya [[muziki]] hivyo basi itaweza kutumiwa tena kwa [[ala]] tofauti au mchanganyiko wa ala mbalimbali kutoka katika muziki asilia. Kwa mfano, wimbo umetungwa kwa ajili ya sauti moja yenye kusindikizwa na [[piano]] - yaweza kurekebishwa au kupangwa upya na kuweza kuimbwa kwa vipande na kwaya, au kisehemu cha zeze chaweza kupangwa na kuweza kutumika kwenye zumari badala yake. Mtu anayefanya kazi ya upangaji huenda akawa mtunzi mwenyewe au pia yaweza kuwa mtu mwingine tofauti na yeye.
 
==Marejeo==