Sudan Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 169:
 
=== Lugha ===
Sudan Kusini inajumuisha zaidi ya makabila 200 yakizungumza [[lugha]] 60 zinazopatikana hasa katika Sudan ya Kusini na lugha nyingine kutoka nchi jirani za Kenya, Ethiopia, Uganda, Kongo, Sudan (Khartoum) na nyingine (angalia [[Orodha ya lugha za Sudan Kusini]]).
 
[[Lugha rasmi]] ni [[Kiingereza]], pamoja na kutambulika kwa lugha mbalimbali za mitaa katika majimbo au miji.