Mashariki ya Kati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:MapRegionMiddleEast+Turkey.png|thumb|Mashariki ya Kati pamoja na [[Uturuki]].]]
'''Mashariki ya Kati''' ni namna ya kutaja sehemu kubwa ya [[Asia ya Magharibi]] pamoja na [[Afrika ya maskazinikaskazini-mashariki]], hasa [[Misri]].
 
Kwa kawaida nchi zifuatazo huhesabiwa humo:
Mstari 8:
* [[Uajemi]]
* [[Uturuki]]
* [[Misri]] (ambayo ni upande wa [[Afrika]] isipokuwa [[rasi ya Sinai]])
 
Nchi hizi zinatajwa pamoja kwa sababu zina [[historia]] ya pamoja na [[utamaduni]] ni wa karibu kati yao.