Jamhuri ya Watu wa Zanzibar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 28:
|-
| '''[[Fedha]]'''
| [[ShillingiShilingi ya Tanzania|TSh]]
|}
 
Mstari 35:
[[File:Zanzibar Harbour.jpg|thumb|Bandari ya Zanzibar]]
 
'''Jamhuri ya Watu wa [[Zanzibar]]''' ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa [[Tanzania]] inayojitawala katika mambo yake ya ndani.

Eneo lake ni sawa na [[funguvisiwa]] ya '''Zanzibar''' iliyopo mbele ya [[mwambao]] wa [[Afrika ya Mashariki]] karibu na [[Tanganyika (nchi)|Tanganyika]] au [[Tanzania bara]]. Inajumuisha [[visiwa]] vikubwa vya [[Unguja]] na [[Kisiwa cha Pemba|Pemba]] pamoja na visiwa vidogovidogo.
 
Kwa jumla mikoa mitano ya Tanzania imo ndani ya Zanzibar ikiwa mitatu iko Unguja na miwili Pemba. Hadi [[mapinduzi ya Zanzibar]] ya mwaka [[1964]] sehemu hizi zilijulikana kama [[Usultani wa Zanzibar]].
 
==Historia==
[[Historia]] inajionesha kwamba kwa kiasi cha miaka 20,000 kumekuwepo [[makazi]] ya [[binadamu]] katika visiwa vya Zanzibar.
 
Historia inajionesha ya kwamba kiasi cha miaka 20,000 kumekuwepo makazi ya bidadamu katika visiwa vya Zanzibar. Visiwa hivihivyo ni sehemu ya kumbukumbu ya kihistoria ya [[ulimwengu]] wakati waajemi[[Waajemi]] [[wafanyabiashara]] waliigundua na kufanya ndiondiyo makao makuu kwa [[safari]] kati ya [[Mashariki ya Kati]], [[India,]] Nana [[Afrika]].
 
Katika karne ya mwanzo AD[[BK]] Zanzibar pamoja na mwambao wa Afrika ya Mashariki ulikuavilikuwa katika [[ufalme wa Saba,Katika kipindi cha karne ya 3 na 4AD,Wabantu walianza biashara na Waarabu waliokuja Afrika ya Mashariki]].
 
Katika kipindi cha [[karne ya 3]] na [[karne ya 4|ya 4]], [[Wabantu |Wabantu]] walianza [[biashara]] na [[Waarabu]] waliokuja Afrika ya Mashariki.
 
Katika [[karne ya 7 AD]],waarabu Waarabu walikuja Zanzibar kibiashara piapamoja na kusambaza Dini[[dini]] ya Kiislam[[Uislamu]], Waarabu ndio waliyoipa jina ZANZIBAR kutokana na neno la [[Kiarabu]] ZINJI BAR yaani sehemu ya watuWatu weusiWeusi.
 
Lugha ya kiswahili[[Kiswahili]] imeanza kutumika kiasi cha [[karne ya 13]] AD,Lughaikitokana yana kiswahili ilitokana nakuchanganyikana kuchanganyikakwa lugha ya kiarabuKiarabu na [[lugha za kiafrikaKiafrika]].
 
KarneKatika [[karne ya 16]] AD wareno[[Wareno]] walikuja Zanzibar lakini [[utawala]] wao ulifuatiwa na kutokuwepo [[utulivu]], lakini [[biashara ya Utumwautumwa]] iliwaweka watu pamoja.
 
Waarabu kutoka [[Oman]] walichukua utawala Zanzibar katika [[karne ya 17]] AD,Nana Zanzibar ilikua niilikuwa makao makuu ya utawala wa Waomani.
 
Miaka [[1820]]-[[1870]] Zanzibar ilifaidi [[matunda]] mazuri ya kiuchumi na [[maendeleo]] yaliyosababishwa na utawala wa kisultani na hivyo kupelekea Zanzibar kuwa na mwakilishi nchini marekani[[Marekani]] na kupelekea kuenea kwa Dini ya wa kiislamKiislamu.
 
Katika [[karne ya 19 AD]] Zanzibar ilikuailikuwa chini ya utawala wa Oman, mwaka [[1830]] Zanzibar ilikuailikuwa inaongoza kwa kilimo cha karafuu , na hiyo kupelekea mahitaji ya [[watumwa]] kuongezeka kutumika katika kilimo.
 
Mwaka [[1885]] kamisheni kutoka Uengereza[[Uingereza]] na [[Ujerumani]] iliamua kuigawa Zanzibar kutoka katika utawala wa Kisultani na ndio ulikuaulikuwa mwisho wa utawala wa kujitegemea kwa Zanzibar. na mnamoMnamo mwaka [[1886]] [[sultani]] alikubali maridhiano hayo.
 
Mwaka [[1890]] Zanzibar ilikuailikuwa chini ya uangalizi wa waingerezaWaingereza rasmi, lakini [[uchaguzi]] wa mwanzo ulifanyika mwaka [[1957]], na miaka iliyofuata kukakuwepokukawepo [[fujo]] na machafuko kutoka kwa waafrikaWaafrika wanaodai [[uhuru]] dhidi ya utawala wa kiarabu.
 
Mwezi wa 12Desemba mwaka 1963 Waingereza waliipa uhuru Zanzibar chini ya [[jumuiya ya madola]], na mwezitarehe wa[[12 mwakaJanuari]] 1964 Zanzibar ilifanya mapinduzi kujikomboa kutoka katika utawala wa kisultani,muda mchache baadae iliungana na Tanganyika kuunda Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA.
 
Muda mchache baadaye iliungana na [[Tanganyika]] kuunda Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA.
 
== Siasa ==
Kwa jumla [[mikoa]] mitano ya Tanzania imo ndani ya Zanzibar ikiwa mitatu iko Unguja na miwili Pemba.
 
Zanzibar inatawaliwa na [[Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar]] (SMZ).
Kwa jumla mikoa mitano ya Tanzania imo ndani ya Zanzibar ikiwa mitatu iko Unguja na miwili Pemba. Hadi [[mapinduzi ya Zanzibar]] ya mwaka 1964 sehemu hizi zilijulikana kama [[Usultani wa Zanzibar]].
 
Zanzibar ina [[Bunge]] lake lenye wabunge 50 wanaochaguliwa kwa muda wa miaka mitano.
Zanzibar inatawaliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ). Raisi [[Amani Abeid Karume]] aliyekuwa mgombea wa [[CCM]] amechaguliwa mara ya pili na wananchi wote tar. 30.10. 2005 katika kura iliyopingwa na chama cha Upinzani [[CUF]].
 
[[Mji mkuu]] na [[makao makuu]] ya [[serikali]] ni [[Jiji la Zanzibar]] ambalo liko kisiwa cha Unguja. Mji mkuu wa kisiwa cha Pemba ni [[Chake Chake]].
Zanzibar ina Bunge lake lenye wabunge 50 wanaochaguliwa kwa muda wa miaka mitano.
 
Mji mkuu wa kisiwa cha Pemba ni [[Chake Chake]].
 
Mji mkuu na makao makuu ya serikali ni [[Jiji la Zanzibar]] ambalo liko kisiwa cha Unguja. Mji mkuu wa kisiwa cha Pemba ni [[Chake Chake]].
Idadi ya wakazi wote ilikuwa 984,625 mwaka 2002, wakiwa 622.459 wakazi wa Unguja na 362.168 wakazi wa Pemba.
 
[[Uchumi]] wa Zanzibar unategemea [[kilimo]] na [[utalii]].
Biashara ya Zanzibar ni kilimo na utalii. Mazao yanayouzwa nje ni hasa [[karafuu]], [[basibasi]], [[mdalasini]] na [[pilipili]].
 
Biashara ya Zanzibar ni kilimo na utalii. Mazao yanayouzwa nje ni hasa [[karafuu]], [[basibasi]], [[mdalasini]] na [[pilipili]].
Jamhuri ya watu wa Zanzibar ilianzishwa baada ya mapinduzi ya 1964 iliyomaliza [[Usultani wa Zanzibar]]. Rais wa kwanza alikuwa [[Abeid Amani Karume]] hadi 1972 aliyefuatwa na [[Aboud Jumbe]] (1972-1984). Rais wa tatu aliyemfuata alikuwa [[Ali Hassan Mwinyi]] (1984-1995) aliyeendelea kuwa pia rais wa Tanzania tangu 1985.
 
Jamhuri ya watu wa Zanzibar ilianzishwa baada ya [[mapinduzi]] ya 1964 yaliyomaliza [[Usultani wa Zanzibar]].
Rais wa sasa ni [[Amani Abeid Karume]] ambaye ni mwana wa rais wa kwanza.
 
[[Rais]] wa kwanza alikuwa [[Abeid Amani Karume]] hadi mwaka [[1972]].
==Historia==
Historia inajionesha ya kwamba kiasi cha miaka 20,000 kumekuwepo makazi ya bidadamu katika visiwa vya Zanzibar. Visiwa hivi ni sehemu ya kumbukumbu ya kihistoria ya ulimwengu wakati waajemi wafanyabiashara waliigundua na kufanya ndio makao makuu kwa safari kati ya Mashariki ya Kati, India, Na Afrika.
 
Alifuatwa na [[Aboud Jumbe]] (1972-[[1984]]).
Katika karne ya mwanzo AD Zanzibar pamoja na mwambao wa Afrika ya Mashariki ulikua katika ufalme wa Saba,Katika kipindi cha karne ya 3 na 4AD,Wabantu walianza biashara na Waarabu waliokuja Afrika ya Mashariki.
Katika karne ya 7 AD,waarabu walikuja Zanzibar kibiashara pia kusambaza Dini ya Kiislam,Waarabu ndio waliyoipa jina ZANZIBAR kutokana na neno la Kiarabu ZINJI BAR yaani sehemu ya watu weusi.
 
Rais wa tatu aliyemfuata alikuwa [[Ali Hassan Mwinyi]] (1984-[[1995]]) aliyeendelea kuwa pia [[rais wa Tanzania]] tangu 1985.
Lugha ya kiswahili imeanza kutumika kiasi cha karne ya 13 AD,Lugha ya kiswahili ilitokana na kuchanganyika lugha ya kiarabu na lugha za kiafrika.
 
Zanzibar[[Rais]] inatawaliwa[[Amani naAbeid SerikaliKarume]] yaambaye Mapinduzini yamwana Zanzibarwa (SMZ).rais Raisiwa [[Amanikwanza Abeidna Karumealikuwa [[mgombea]] aliyekuwa mgombea wa [[CCM]] amechaguliwaalichaguliwa mara ya pili na wananchi wote tar.tarehe [[30.10. Oktoba]] [[2005]] katika kura iliyopingwa na [[chama cha Upinzaniupinzani]] [[CUF]].
Karne ya 16 AD wareno walikuja Zanzibar lakini utawala wao ulifuatiwa na kutokuwepo utulivu,lakini biashara ya Utumwa iliwaweka watu pamoja.
Waarabu kutoka Oman walichukua utawala Zanzibar katika karne ya 17 AD,Na Zanzibar ilikua ni makao makuu ya utawala wa Waomani.
 
Rais aliyefuata ni [[Ali Mohamed Shein]] ([[2010]]-[[2015]]). Katika uchaguzi wa tarehe [[25 Oktoba]] 2015 alionekana kushindwa na mpinzani wake, lakini matokeo rasmi hayajatangazwa, ingawa nchi nyingi duniani zinashinikiza ifanye hivyo.
1820-1870 Zanzibar ilifaidi matunda mazuri ya kiuchumi na maendeleo yaliyosababishwa na utawala wa kisultani na hivyo kupelekea Zanzibar kuwa na mwakilishi nchini marekani na kupelekea kuenea kwa Dini ya wa kiislam.
Katika karne ya 19 AD Zanzibar ilikua chini ya utawala wa Oman,mwaka 1830 Zanzibar ilikua inaongoza kwa kilimo cha karafuu ,na hiyo kupelekea mahitaji ya watumwa kuongezeka kutumika katika kilimo.
1885 kamisheni kutoka Uengereza na Ujerumani iliamua kuigawa Zanzibar kutoka katika utawala wa Kisultani na ndio ulikua mwisho wa utawala wa kujitegemea kwa Zanzibar na mnamo mwaka 1886 sultani alikubali maridhiano hayo.
 
1890 Zanzibar ilikua chini ya uangalizi wa waingereza rasmi lakini uchaguzi wa mwanzo ulifanyika mwaka 1957,na miaka iliyofuata kukakuwepo fujo na machafuko kutoka kwa waafrika wanaodai uhuru dhidi ya utawala wa kiarabu.
Mwezi wa 12 mwaka 1963 Waingereza waliipa uhuru Zanzibar chini ya jumuiya ya madola,na mwezi wa mwaka 1964 Zanzibar ilifanya mapinduzi kujikomboa kutoka katika utawala wa kisultani,muda mchache baadae iliungana na Tanganyika kuunda Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA.
 
==Uchumi==
Line 78 ⟶ 105:
 
==Idadi ya Watu==
dadi ya Watu na Makazi.
 
Watu wa Zanzibar ni wa asili mbalimbali, hasa watu wa asili ya Afrika Bantu[17]; Waasia, awali kutoka India na nchi za Kiarabu. Idadi ya wakazi wa Zanzibar ilikuwa 984,625 mwaka 2002,[18] tarehe ya sensa ya mwisho, kwa kiwango cha ukuaji wa 3.1%, . Hii, karibu theluthi mbili ya watu - 622,459 - wanaishi Kisiwa cha Zanzibar(Unguja),
Mkoa wa mjini magharibi ndio wenye idadi kubwa ya wakaazi kiasi cha watu 205,870.
Line 92 ⟶ 117:
Kuna misikiti 51, ambaye waadhini hugongana kwa kila mmoja wakati wa maombi, pamoja na Majumba ya Hindu sita mahekalu na Kanisa Kuu Katoliki kama vile Kanisa Kuu Anglican katika mji wa Zanzibar Stonetown).
 
==ViuongoViungo vya nje==
*www.tanzabradford.webs.com/umoja wa watanzania Bradford
*www.tzgr.ewebsite.com/Umoja wa Watanzania Greece