Jamhuri ya Watu wa Zanzibar : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 16:
|-
| '''[[Eneo]]'''
| <br />
|-
| '''[[Wakazi]]'''
Mstari 32:
[[Image:Visiwa vya Zanzibar.JPG|thumb|left|250px|Visiwa vya Zanzibar ([[Unguja]] na [[Pemba]])]]
[[Image:Zanzibar and Pemba Islands.jpg|thumb|Visiwa vya Unguja na Pemba (ramani haionyeshi umbali halisi kati ya visiwa
[[File:Zanzibar Harbour.jpg|thumb|Bandari ya Zanzibar]]
'''Jamhuri ya Watu wa [[Zanzibar]]''' ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa [[Tanzania]]
Eneo lake ni sawa na [[funguvisiwa]]
Hadi [[mapinduzi ya Zanzibar]] ya mwaka [[1964]] sehemu hizi zilijulikana kama [[Usultani wa Zanzibar]].
==Historia==
[[Historia]]
Visiwa hivyo ni sehemu ya kumbukumbu ya kihistoria ya [[ulimwengu]] wakati [[Waajemi]] [[wafanyabiashara]]
Katika karne ya mwanzo [[BK]] Zanzibar pamoja na mwambao wa Afrika ya Mashariki vilikuwa katika [[ufalme wa Saba]].
Mstari 50:
Katika kipindi cha [[karne ya 3]] na [[karne ya 4|ya 4]], [[Wabantu |Wabantu]] walianza [[biashara]] na [[Waarabu]] waliokuja Afrika ya Mashariki.
Katika [[karne ya 7]], Waarabu walikuja Zanzibar kibiashara pamoja na kusambaza [[dini]] ya [[Uislamu]], Waarabu ndio waliyoipa jina ZANZIBAR kutokana na
Lugha ya [[Kiswahili]] imeanza kutumika kiasi cha [[karne ya 13]] ikitokana na
Katika [[karne ya 16]] [[Wareno]] walikuja Zanzibar lakini [[utawala]] wao ulifuatiwa na kutokuwepo [[utulivu]], lakini [[biashara ya utumwa]] iliwaweka watu pamoja.
Mstari 60:
Miaka [[1820]]-[[1870]] Zanzibar ilifaidi [[matunda]] mazuri ya kiuchumi na [[maendeleo]] yaliyosababishwa na utawala wa kisultani na hivyo kupelekea Zanzibar kuwa na mwakilishi nchini [[Marekani]] na kupelekea kuenea kwa Dini ya Kiislamu.
Katika [[karne ya 19]] Zanzibar ilikuwa chini ya utawala wa Oman, mwaka [[1830]] Zanzibar ilikuwa inaongoza kwa [[kilimo]] cha [[karafuu]], na hiyo kupelekea
Mwaka [[1885]] kamisheni kutoka [[Uingereza]] na [[Ujerumani]] iliamua kuigawa Zanzibar kutoka katika utawala wa Kisultani na ndio ulikuwa mwisho wa utawala wa kujitegemea kwa Zanzibar. Mnamo mwaka [[1886]] [[sultani]] alikubali maridhiano hayo.
Mstari 80:
Mji mkuu wa kisiwa cha Pemba ni [[Chake Chake]].
[[Uchumi]] wa Zanzibar unategemea [[kilimo]] na [[utalii]]. ▼
Jamhuri ya watu wa Zanzibar ilianzishwa baada ya [[mapinduzi]] ya 1964 yaliyomaliza [[Usultani wa Zanzibar]].
Line 99 ⟶ 93:
Rais aliyefuata ni [[Ali Mohamed Shein]] ([[2010]]-[[2015]]). Katika uchaguzi wa tarehe [[25 Oktoba]] 2015 alionekana kushindwa na mpinzani wake, lakini matokeo rasmi hayajatangazwa, ingawa nchi nyingi duniani zinashinikiza ifanye hivyo.
==
Watu wa Zanzibar ni wa asili mbalimbali, hasa watu wa asili ya Afrika [[Bantu |Bantu]],
Uchumi wa Zanzibar ni uchumi duni kabisa ambao mwananchi wa kawaida anaishi chini ya [[Dolar ya Marekani|dola]] moja kwa siku au kutokuwa na uhakika wa kupata chochote.▼
Idadi ya wakazi wa Zanzibar ilikuwa 1,303,569 mwaka 2012,
Hilo linatokana na viongozi wa vyama kutoonesha mori katika kutatua matatizo au kuweka mbinu za kuleta [[maendeleo]], badala yake ni kujadili [[siasa]] kwa muda mwingi.▼
Zanzibar ni nchi yenye matumaini katika uchumi lakini, kutokana na migogoro ya kisiasa, imekuwa katika hali duni kabisa, na [[balozi|mabalozi]] wa Marekani na nchi nyingine walisisitiza mara nyingi umuhimu wa kuwepo ushirikiano katika siasa ili kuiwezesha Zanzibar kuinuka katika hali ya kiuchumi.▼
▲Watu wa Zanzibar ni wa asili mbalimbali, hasa watu wa asili ya Afrika [[Bantu |Bantu]] [17]; [[Waasia]], awali kutoka [[India]] na [[nchi za Kiarabu]].
▲Idadi ya wakazi wa Zanzibar ilikuwa 1,303,569 mwaka 2012, [18] tarehe ya [[sensa]] ya mwisho, iliyoonyesha ongezeko la 3.1% kwa mwaka.
Karibu [[theluthi]] mbili ya watu wanaishi
[[Mkoa wa mjini magharibi]] ndio wenye idadi kubwa ya wakazi, kiasi cha watu 205,870.
Line 117 ⟶ 104:
Pemba ina jumla ya makazi sawa. Mji mkubwa ni Chake Chake, ukiwa na idadi ya 19,283, mengine ni [[Wete]] na [[Mkoani]].
===Dini===
[[Dini]] ya [[Uislamu]]
Kuna [[misikiti]] 51, ambayo [[waadhini]] wake hugongana wakati wa maombi, pamoja na [[hekalu|mahekalu]] ya Hindu sita na makanisa kadhaa, yakiwemo [[Kanisa Kuu]] [[Kanisa Katoliki|Katoliki]] na Kanisa Kuu la [[Anglikana]] katika mji wa [[Zanzibar Stonetown]]. Hata hivyo makanisa kadhaa yalichomwa [[moto]] katika miaka ya mwisho.▼
==Afya==
Upande wa huduma ya [[afya]], [[kifo|vifo]] vya [[watoto wachanga]] bado ni 83 kati ya wazaliwa 1000, na inakadiriwa kuwa [[utapiamlo]] huathiri moja katika tatu ya watu wa visiwa.
Matarajio ya maisha wakati wa kuzaliwa ni miaka 48
==
▲[[Uchumi]] wa Zanzibar unategemea [[kilimo]] na [[utalii]]. Mazao yanayouzwa nje ni hasa [[karafuu]], [[basibasi]], [[mdalasini]] na [[pilipili]].
▲[[Dini]] ya [[Uislamu]] ni kiasi cha 97%. Waliobaki ni mchanganyiko wa [[Wahindu]] na [[Wakristo]], lakini Wahindu wengi walikimbia nchi au kuuawa wakati wa mapinduzi ya mwaka 1963. Wakristo walikuja wakati wa utawala wa Kireno na [[ukoloni]] wa Uingereza.
▲Uchumi wa Zanzibar ni uchumi duni kabisa ambao mwananchi wa kawaida anaishi chini ya [[Dolar ya Marekani|dola]] moja kwa siku au kutokuwa na uhakika wa kupata chochote.
Wastani wa mapato ya kila mwaka ya [[Dolar ya Marekani|US $]] 250 na ukweli kwamba karibu [[nusu]] ya wakazi wanaishi chini ya mstari wa [[umaskini]]. Lakini kuna tofauti kubwa katika kiwango cha maisha kati ya wakazi wa Pemba na Unguja, tena kati ya wakazi wa mijini na vijijini.
▲Kuna [[misikiti]] 51, ambayo [[waadhini]] wake hugongana wakati wa maombi, pamoja na [[hekalu|mahekalu]] ya Hindu sita na makanisa kadhaa, yakiwemo [[Kanisa Kuu]] [[Kanisa Katoliki|Katoliki]] na Kanisa Kuu la [[Anglikana]] katika mji wa [[Zanzibar Stonetown]]. Hata hivyo makanisa kadhaa yalichomwa [[moto]] katika miaka ya mwisho.
▲Hilo linatokana na viongozi wa vyama kutoonesha mori katika kutatua matatizo au kuweka mbinu za kuleta [[maendeleo]], badala yake ni kujadili [[siasa]] kwa muda mwingi.
▲Zanzibar ni nchi yenye matumaini katika uchumi lakini, kutokana na migogoro ya kisiasa, imekuwa katika hali duni kabisa, na [[balozi|mabalozi]] wa Marekani na nchi nyingine walisisitiza mara nyingi umuhimu wa kuwepo ushirikiano katika siasa ili kuiwezesha Zanzibar kuinuka katika hali ya kiuchumi.
==Viungo vya nje==
*www.tanzabradford.webs.com/umoja wa watanzania Bradford
*www.tzgr.ewebsite.com/Umoja wa Watanzania Greece
*
*{{en}}[http://www.nbs.go.tz/stzanzibar.htm Takwimu]
*{{fr}}[http://zanzibar-photos.tripod.com Picha za Zanzibar]
|