Jamhuri ya Watu wa Zanzibar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 108:
[[Dini]] ya [[Uislamu]] ina kiasi cha 97% za wananchi wote. Waliobaki ni hasa [[Wahindu]] na [[Wakristo]], lakini Wahindu wengi walikimbia nchi au kuuawa wakati wa mapinduzi ya mwaka 1964. Wakristo walikuja wakati wa utawala wa Kireno na [[ukoloni]] wa Uingereza.
 
Kuna [[misikiti]] 51, ambayo [[waadhini]] wake hugongana wakati wa maombi, pamoja na [[hekalu|mahekalu]] ya Hindu sita na makanisa kadhaa, yakiwemo [[Kanisa Kuu]] [[Kanisa Katoliki|Katoliki]] na Kanisa Kuu la [[Anglikana]] katika mji wa [[Zanzibar Stonetown]]. Hata hivyo makanisa kadhaa yalichomwa [[moto]] katika miaka ya mwisho.
 
Hasa hilo la mwisho ni maarufu kwa sababu lilijengwa mahali pa [[soko la watumwa]] lililofungwa, [[altari]] ikiwa imejengwa juu ya nafasi ya [[mti]] wa kuwafunga watumwa walioadhibiwa kwa [[viboko]], na [[batizio]] kuwa mahali walipotupwa [[watoto]] watumwa ambao hawakuuzwa pamoja na [[mama]] zao.
 
Hata hivyo makanisa kadhaa yalichomwa [[moto]] katika miaka ya mwisho.
 
==Afya==