Tofauti kati ya marekesbisho "Hadithi za Mtume Muhammad"

Tengua pitio 965087 lililoandikwa na 156.157.101.163 (Majadiliano)
Tags: Mobile edit Mobile web edit
(Tengua pitio 965087 lililoandikwa na 156.157.101.163 (Majadiliano))
[[Muhammad]] aliishi miaka kama arobaini bila kuwa na imani ya [[Mungu]] pekee. Kisha Mwenyezi Mungu akamletea mjumbe kutoka kwake aitwaye [[malaika]] [[Jibrili]] anayeaminika kuwa ndiye aliyempa [[aya]] zilizoko katika [[msahafu]] wa Waislamu, [[Kurani]]. Inaelezwa kuwa Jibrili alimpa Muhammad aya hizo kwa muda wa miaka ishirini na tatu mpaka alipofariki [[dunia]] akiwa na umri wa miaka 63.
 
Hadithi za Mtume Muhammad zimekusanywa katika vitabu vingi sana na [[wanazuoni]] mbalimbali wa Hadithi, lakini vitabu vya hadithi ambavyo ni muhimu na vinategemewa na wengi katika [[Uislamu]] ni hivi vifuatavyo: Huh
 
== Vitabu vya Hadithi ==