Tofauti kati ya marekesbisho "Hadithi za Mtume Muhammad"

no edit summary
(Tengua pitio 965087 lililoandikwa na 156.157.101.163 (Majadiliano))
{{Islam}}
'''Hadithi''' au [[Sunnah]] ni maneno na vitendo ambavyo [[Mtume Muhammad]] alikuwa akisema au akifanya katika kipindi chake cha [[utume]]. [[Hadithi]] hizi ni mojammoja kati ya miongozo ya [[imani]] kwa [[Waislamu]]. Hadithi hizi zinajumuisha pia mambo aliyoyaona au kuyasikia katika muda wa utume wake akalinyamazia [[kimya]] au akawa hakulipinga na akalikubali.
 
Hadithi hizi zinajumuisha pia mambo aliyoyaona au kuyasikia katika muda wa utume wake akalinyamazia [[kimya]] au akawa hakulipinga na akalikubali.
[[Muhammad]] aliishi miaka kama arobaini bila kuwa na imani ya [[Mungu]] pekee. Kisha Mwenyezi Mungu akamletea mjumbe kutoka kwake aitwaye [[malaika]] [[Jibrili]] anayeaminika kuwa ndiye aliyempa [[aya]] zilizoko katika [[msahafu]] wa Waislamu, [[Kurani]]. Inaelezwa kuwa Jibrili alimpa Muhammad aya hizo kwa muda wa miaka ishirini na tatu mpaka alipofariki [[dunia]] akiwa na umri wa miaka 63.
 
==Asili==
Hadithi za Mtume Muhammad zimekusanywa katika vitabu vingi sana na [[wanazuoni]] mbalimbali wa Hadithi, lakini vitabu vya hadithi ambavyo ni muhimu na vinategemewa na wengi katika [[Uislamu]] ni hivi vifuatavyo:
Muhammad aliishi miaka kama [[arobaini]] bila kuwa na imani ya [[Mungu]] pekee.
 
Kisha [[Mwenyezi Mungu]] akamletea mjumbe kutoka kwake aitwaye [[malaika]] [[Jibrili]] anayeaminiwa na Waislamu kuwa ndiye aliyempa [[aya]] zilizoko katika [[msahafu]] wa Waislamu, [[Kurani]].
 
Inaelezwa kuwa Jibrili alimpa Muhammad aya hizo kwa muda wa miaka ishirini na mitatu mpaka alipofariki [[dunia]] akiwa na [[umri]] wa miaka 63.
 
Hadithi za Mtume Muhammad zimekusanywa katika [[vitabu]] vingi sana na [[wanazuoni]] mbalimbali wa Hadithi, lakini vitabu vya hadithi ambavyo ni muhimu na vinategemewa na wengi katika [[Uislamu]] ni hivi vifuatavyo:
 
== Vitabu vya Hadithi ==
* ''8- Musnad Ahmad bin Hanbal''
 
Mtume Muhammad alikuwa hapendelei Hadithi zake ziandikwe wakati mmoja na Kurani, yasije yakachanganyika maneno yake na yale ya Mwenyezi Mungu,. na kwaKwa hiyo Hadithi zilichelewa kuandikwa mpaka baada ya kufariki kwake dunia kwa muda mkubwa kidogo, na kwa sababu hiihiyo Hadithi zikatawanyika sehemu mbalimbali kulingana na [[usahihi]] wake au [[udhaifu]] wake au [[uwongo]] wake.
 
Hivyo kuna Hadithi aina nne kulingana na fahamu na kutegemewa kwa msimulizi wa hiyo Hadithi: Hadithi Sahihi, Hadithi Hasan (Nzuri), Hadithi Dhaifu na Hadithi Maudhu'u (Hadithi ya Uwongo).
 
Kuna Hadithi aina nne kulingana na fahamu na kutegemewa kwa msimulizi wa hiyo Hadithi. Hadithi Sahihi, Hadithi Hasan (Nzuri), Hadithi Dhaifu, na Hadithi Maudhu'u (Hadithi ya Uwongo). Vile vile, kuna aina nyingine za Hadithi zilizogawanyika kwa mujibu wa mambo mengine kama vile: kwa mujibu wa wapokezi, au mfululizo wa wasimulizi, au idadi ya wasimulizi katika kila sehemu ya mfululizo, au kwa mujibu wa simulizi lenyewe na msimulizi wake.
 
== Hadithi kwa mujibu wa fahamu na kutegemewa kwa msimulizi ==