Waanglikana : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 4:
Katika [[karne ya 16]] [[mfalme]] [[Henry VIII]] alitenga [[Kanisa]] la nchi hiyo na [[Kanisa Katoliki]].
Baada ya [[farakano]] hilo, yalifanyika mabadiliko mbalimbali upande wa [[imani]], [[ibada]] na [[sheria]] kuelekea [[Uprotestanti]]. Hata hivyo mwelekeo wa Kikatoliki uliendelea kuwepo, na bado una nguvu, hasa katika baadhi ya [[dayosisi]]. Hasa miaka hii ya mwisho
Katika karne zilizofuata, kutokana na uenezi wa himaya ya Uingereza duniani, Anglikana ilienea sehemu nchi, na leo ina wafuasi wengi hasa [[Afrika]] ([[Nigeria]], [[Uganda]] n.k.). Kwa jumla wanazidi milioni
Majimbo yake
==Historia==
Mstari 36:
Siku hizi Waanglikana wa [[Marekani]] wamekuwa wa kwanza kumbariki [[askofu wa kike]] (ni [[Mnegro]]) na askofu [[shoga]], lakini katika suala la kupokea [[wanawake]] katika [[ukasisi]] na [[uaskofu]] na vilevile katika suala la ushoga majimbo yao yametofautiana kiasi cha kuelekea [[farakano]].
Kwa sababu hizo, mnamo Januari [[2016]], Jimbo la Marekani lilisimamishwa kwa miaka 3.
[[Bara]]ni [[Afrika]] tunasikia hasa jina la [[Desmond Tutu]], Askofu Mwanglikana aliyetetea [[haki]] za Waafrika dhidi ya [[ubaguzi wa rangi]] [[Afrika Kusini]].
Line 42 ⟶ 44:
*[http://www.cofe.anglican.org/ Church of England, official site]
*[http://www.allsouls.org/ascm/allsouls/static/index.html All Souls' Church, London, Evangelical].
{{mbegu-Ukristo}}
[[Category:Ukristo]]
|