73,185
edits
(→Siasa) |
|||
[[Chama tawala]] kinajaribu kufuata siasa ya mapatano ya ndani, lakini ina [[uvumilivu]] mdogo tu kwa upinzani na mawazo yanayopinga siasa yake.
Mwezi
Nkurunziza alichaguliwa tena kwa kura ya wananchi wote mwaka 2010. Chama cha upinzani FNL kilikataa kukubali ushindi wa CNDD-FDD.
Mwaka 2015 rais Nkurunziza alipendekezwa kugombea tena urais katika uchaguzi akakubali. Hatua hiyo ilisababisha upinzani mkali wa wananchi walioandamana wakiona hii inavunja mapatano ya amani ya Arusha.
Tarehe [[13 Mei]] [[jenerali]] [[Godefroid Niyombare]] alitangaza kufukuzwa kwa Nkurunziza kutoka urais wakati huyo alikuwa safarini Tanzania, lakini
Nkurunziza alirudi na kutangaza ya kwamba kura inatakiwa kufanyika jinsi ilivyopangwa tarehe [[26 Mei]] 2015 kwa bunge na tarehe [[26 Juni]] kwa urais.
Taasisi ya kimataifa na nchi jirani walitamka wasiwasi kuhusu mwelekeo wa hali ya kisiasa katika Burundi. [[Nkosazana Dlamini-Zuma]], mwenyekiti wa kamati tendaji ya [[Umoja wa Afrika]], aliomba kuahirishwa kwa kura nchini Burundi hadi hali iwe imetulia.
Tarehe [[24 Julai]] 2015 Tume ya Uchaguzi ilimtangaza Nkurunziza mshindi wa uchaguzi kwa 69.41% za kura. [[Agathon Rwasa]] alishika nafasi ya pili kwa 18.99% ingawa alikuwa amehimiza wananchi wasipige kura.
Kilichofuata kimesababisha wananchi 200,000 wakimbie, huko rais akikataza [[Umoja wa Afrika]] usitume [[askari]] kulinda [[amani]] na [[haki]] nchini, wakati [[wanajeshi]] wanaendelea kuua na kunyanyasa Watutsi wakielekea [[mauaji ya kimbari]].
== Utawala ==
|