Mtoto : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 118 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q7569 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Children in Namibia(1 cropped).jpg|thumb|200px|right|Watoto nchini Namibia.]]
[[File:2005pop14-.PNG|thumb|250px|[[Ramani]] ya [[dunia]] inayoonyesha [[idadi]] ya watu wenye umri wa chini ya miaka 15 mwaka [[2005]].]]
'''Mtoto''' ni [[mwanadamu]] mwenye [[umri]] mdogo, asiye [[mtu mzima]] bado. Kuna tofauti katika [[utamaduni|tamaduni]] mbalimbali kuhusu umri
Mara nyingi miaka kabla ya [[kubalehe]] inatazamiwa kuwa kipindi cha utoto na baadaye mtu anaitwa [[kijana]].
== Sheria ==
[[Umoja wa Mataifa]] umetoa azimio juu ya [[haki za watoto]] (Convention on the Rights of the Child) lililokubaliwa na karibu nchi zote za dunia isipokuwa [[Marekani]] na [[Somalia]] kuwa [[mkataba wa kimataifa]]. [[Mkataba]] huu unaeleza ya kwamba utoto ni kipindi hadi kufikia umri wa miaka [[18]].
[[Mkataba wa Kiafrika juu ya haki na ustawi wa watoto]] (African Charter on the Rights and Welfare of the Child) uliokubaliwa na [[Umoja wa Afrika]] unamwona pia kila mtu hadi umri wa miaka 18 kuwa mtoto.
Kuna nchi zinazotofautiana kisheria kati ya watoto na vijana. Kwa mfano [[Ujerumani]]
Mtoto kwa jumla hapewi [[madaraka]] kama mtu mzima, yuko chini ya [[usimamizi]] wa [[wazazi]] au [[walezi]].
== Utamaduni ==
Hali ya mtoto inaamuliwa zaidi na utamaduni na [[mapokeo]] yake. Kuna tamaduni ambako kijana wa miaka [[16]]
Katika [[Mazingira|mazingira]] ya [[wakulima]] au [[wafugaji]] mtoto anategemewa kufanya [[kazi]] kulingana na [[nguvu]] zake; anaweza kupewa [[wajibu]] kamili hata kama kisheria
Kwa [[lugha]] mbalimbali katika uhusiano na wazazi wake mtu anaendelea kuitwa mtoto hata kama
== Tazama pia ==
Mstari 29:
[[Jamii:Familia]]
[[Jamii:Umri]]
|