Tofauti kati ya marekesbisho "Mashahidi wa Yehova"

506 bytes removed ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Watchtower Bible & Tract Society (world headquarters).jpg|thumb|200px|Makao makuu ya kimataifa huko [[Brooklyn]], [[New York]], Marekani.]]
'''Mashahidi wa Yehova''' (kwa [[Kiingereza]] '''Jehovah's Witnesses''') ni wafuasi wa [[dini]] jamii ya [[Ukristo]] ambayo ilianzia [[Marekani]] na kuenea [[ulimwengu|ulimwenguni]] kote.
 
Tofauti na Wakristo karibu wote, hao hawamuamini [[Yesu]] kuwa [[Mungu]] sawa na [[Baba]], wala [[Roho Mtakatifu]] kuwa [[nafsi]], na kwa jumla hawakubali [[imani]] katika [[Utatu]] wa nafsi katika Mungu pekee. Kwa sababu hiyo [[madhehebu]] mengi hayawatambui kama Wakristo wala hayakubali [[ubatizo]] wao.
 
[[Mwanzilishi]] alikuwa [[Charles Taze Russell]] pamoja na kikundi cha wanafunzi wa [[Biblia]] ([[miaka ya 1870]]). Jina la sasa lilianza kutumika [[mwaka]] [[1931]].
 
Kwa sasa wako [[milioni]] 8.2 katika [[jumuia]] 118,016 (kadiri ya ''2016 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova''<ref>[http://www.jw.org/sw/machapisho/vitabu/2016-kitabu-cha-mwaka/ ''2016 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova]</ref>). Ongezeko ni la [[asilimia]] 2.5 kwa mwaka.
 
== Hoja dhidi yao ==
Wengi wamelaumu Mashahidi wa Yehova hasa kutokana na jinsi walivyotafsiri na wanavyofafanua Biblia, mafundisho yao, [[katazo]] la [[utoaji damu]], mara kadhaa za [[utabiri]] wao kutotimia hasa kuhusu mambo ya mwisho, pamoja na jinsi waumini wanavyofuatiliwa na kushinikizwa.
 
Kwa sababu hizo katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, kama nchini [[Tanzania]] wakati wa [[urais]] wa [[Julius Nyerere]] au bado ni marufuku.
Wenyewe wamekataa daima lawama hizo, lakini kila mwaka wengi wanajitenga nao.
 
== Marejeo Tanbihi==
<references/>
 
== Marejeo ==
* ''Jehovah's Witnesses: Portrait of a Contemporary Religious Movement'' by Andrew Holden. An academic study on the sociological aspects of Jehovah's Witnesses phenomenon. Publisher: Routledge; 1st edition 2002, ISBN 978-0-415-26610-9.
* ''Jehovah's Witnesses—Proclaimers of God's Kingdom'' (1993) by [[Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania]]. Official history of the development of the beliefs, practices, and organisational structure of Jehovah's Witnesses.
== Viungo vya nje ==
{{Commons category|Jehovah's Witnesses}}
<!-- Please discuss any links you wish to add to this list on this article's talk page before adding them. To avoid spam, link creep, and keep the resources in this section of high quality, we want to discuss any external resource inclusion before it is added. Thank you! -->
 
=== Tovuti rasmi ===
* [http://www.jw.org/sw/ Mashahidi wa Yehova]
* [http://www.jw.org/swc/ Mashahidi wa Yehova]
 
 
=== Tovuti nyingine ===
<!-- Please discuss any books you wish to add to this list on this article's talk page before adding them. To avoid spam, link creep, and keep the resources in this section of high quality, we want to discuss any external resource inclusion before it is added. Thank you! -->
* [http://www.knocking.org/ 'Knocking'] – A documentary about Jehovah's Witnesses. [http://www.youtube.com/watch?v=Oj4cS4n9ZkA Sample Trailer]
* [http://www.theocraticlibrary.com/downloads/Why_Jehovah's_Witnesses_Grow_So_Rapidly.pdf Why Do Jehovah's Witnesses Grow So Rapidly: A Theoretical Explanation] – Theory documented by sociologists Rodney Stark & Laurence R. Iannaccone.