Mbeya (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 28:
[[Picha:Mbeya Street.jpg|300px|thumbnail|Station Road huko Mbeya sehemu ya kale ya mjini]]
==Historia==
Jina la Mbeya limetokana na neno la kisafwa "Ibheya" ambayo maana yake ni chumvi kwani miaka mingi wafanyabiashara walikuwa wanafika mahali hapo kubadilishana mazao yao kwa chumvi. Mlima mkubwa ulio karibu ulijulikana kwa jina la "Mbeya"<ref>Wajerumani waliandika "Mbeja" wakitamka "j" kama "y", linganisha [[Kamusi ya Koloni za Kijerumani]], makala "Usafua"</ref> wakati wa ukoloni wa Kijerumani, na mji ulipokea baadaye jina kutokana na mlima huu.
 
Mji wa kisasa wa Mbeya ulianzishwa na wakoloni Waingereza mnamo mwaka 1927. Wakati ule dhahabu ilianza kupatikana katika mlimani karibu na Mbeya hadi [[Chunya]].
Mstari 49:
Siku hizi sehemu kubwa ya wakazi ni wakristo, hasa wafuasi wa [[Kanisa la Katoliki]], [[Kanisa la Moravian]] na [[Kanisa la Kiluteri]]. Makundi makubwa mjini ni Wasafwa wenyeji na Wanyakyusa waliohamia hapa kutoka [[Rungwe]]. Wanyakyusa ndio waliotangulia kuleta Uluteri mjini.
 
Kuna pia [[msikiti]] kubwa na hekalu la [[Uhindu|Wahindu]]. Pia jiji la mbeya Lina vyuo vikuu kadhaa miongoni mwake ni Mzumbe tawi la mbeya, MUST na Teofilo kisanji Mbeya. Wanafuzi waliohitimu siku za karibuni ni Peter Mbogoro mwanasheria kutoka Mzumbe.
 
==Mawasiliano==