Kituamotu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kituamotu''' (au '''Kipa'umotu''') ni lugha ya Kiaustronesia nchini Polinesia ya Kifaransa inayozungumzwa na Watuamotu, ha...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Kituamotu''' (au '''Kipa'umotu''') ni [[Lugha za Kiaustronesia|lugha ya Kiaustronesia]] nchini [[Polinesia ya Kifaransa]] inayozungumzwa na [[Watuamotu]], hasa kwenye visiwa vya [[Tuamotu]] na [[Tahiti]]. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kituamotu imehesabiwa kuwa watu 4000 katika kisiwa cha Tuamotu na wasemaji 2000 katika kisiwa cha Tahiti. Watuamotu wengi wanatumia lugha ya [[Kitahiti]] badala ya lugha yao ya asili, yaani lugha ya Kituamotu iko hatarini mwa kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kituamotu iko katika kundi la Kioseaniki.
 
==Viungo vya nje==