Kipepeo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
Vipepeo na nondo
Mstari 31:
 
Vipepeo wengi kiasili wamepitia mabadiliko makubwa. Wengine wametoka na na mabadiliko kutoka kwa wadudu kama vile mchwa. Vipepeo ni muhimu sana kwa kusaidia uchavushaji kwa binadamu, sababu zinapelekea mharibifu wa mazao hasa katika hatua ya lava ya ukuaji nao kitamaduni, vipepeo ni motifu maarufu katika sanaa ya maandishi na maonesho.
 
==Vipepeo na nondo==
Spishi nyingi zaidi za Lepidoptera ni nondo. Tofauti kati ya nondo na vipepeo ni kama ifuatavyo. Vipapasio vya vipepeo ni kama nyuzi zenye kinundu mwishoni kwao. Nondo wana vipapasio vyenye maumbo mbalimbali lakini abadani nyuzi zenye kinundu. Juu ya hayo takriban nondo wote hukiakia wakati wa usiku na vipepeo hukiakia wakati wa mchana.
 
==Mzunguko wa maisha==
Line 38 ⟶ 41:
 
Vipepeo wana kizazi kimoja au vizazi kadhaa kwa mwaka. Hutofautiana kutoka sehemu moja mpaka nyingine, huku maeneo ya tropiki yakionekana kuchochea uzazi kwa kiasi kikubwa.
 
 
==Mayai==
 
 
[[Picha:Ariadne_merione_egg_sec.jpg|thumb|Yai la ''Ariadne merione'']]
Mayai ya vipepeo huwa na gamba gumu liitwalo [[korioni]] ([[w:Chorion (egg)|chorion]]). Gamba hili limezungukwa na [[nta]] inayozuia yai lisikauke kabla ya lava hajakua vizuri. Kila yai huwa na tunau dogo, kwa ajili ya kuruhusu manii kuingia na kurutubiha yai. Mayai ya vipepeo na nondo hutofautiana sana kwa ukubwa kwenye spishi zao, lakini yote huwa ya miduara au dharadufu.
Mstari 51:
 
Mayai hudumu kwa siku kadhaa, lakini mayai mengi hutagwa msimu wa kipupwe na kuanguliwa nyakati za kuchipua. Vipepeo wengine hutaga mayai yao nyakati za kuchupua na kunyaangua msimu wa kiangazi.
 
 
==Kiwavi==
 
[[Picha:Common_Buckeye_larva_variation,_Megan_McCarty42.JPG|thumb|Viwavi wa common buckeye]]
Lava wa vipepeo au viwavi hula majani kwa wingi, na hutumia muda wao mwingi wa siku wakitafuta chakula japokuwa asilimia kuowa ya viwavi hula nyasi (majani), wachache hula wadudu. Baadhi ya viwavi huishi maisha ya kutesemeana na [[sisimizi]]. Huwasiliana na sisimizi kwa kutumia mitikisiko maalumu na kemikali. Sisimizi hutoa ulinzi kwa lava hawa ambao nao huwapatia mchwa utamuu wa asali.
Line 65 ⟶ 63:
 
Baadae bundo hukua na kupitia mabadiliko katika mfumo wa metamofosisi na kuwa kipepeo kamili.
 
 
==Ndumili==
[[Picha:Butterfly_portrait.jpg|thumb|Uso wa kipepeo]]
Katika hatua hii kipepeo huitwa ndumili. Jinsi yake pia hutambulika kwa mara ya kwanza. Huwana mbawa za mbele na nyuma, hukuza mbele zikiwa hazijajishikiza pamoja. Huwa na miguu sita. Kisha kutoka nje mara ya kwanza, vipepeo huanza kujifunza kuvuka, nani muda huu ambapo huwa hatari sana kwani huweza vamiwa na maadui. Zoezi hili huchukua saa 1 mpaka 3.
 
 
==Maumbile==
Vipepeo huwa na mabawa manne, bawa la mbele na nyuma kwa upande na kuliana kushota mwili wao umegawanyika katika sehemu kuu tatu, kichwa, kifua, na fumbatio. Wana [[kipapasio|vipapasio]] viwili, macho ya kampaundi na ulimi (mdomo) maalumu, proboscis.
 
 
==Tabia==