Tofauti kati ya marekesbisho "Mtawa"

157 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 5 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q2566598 (translate me))
'''Mtawa''' ni [[mtu]] anayejitenga na [[ulimwengu]] ili kuishi [[maisha]] [[Maadili|maadilifu]].
 
Katika [[dini]] mbalimbali, mfano mmojawapo wa [[utawa]] ni ule wa [[wamonaki]]. Lakini katika [[Ukristo]], hasa [[Ukristo wa Magharibi|wa Magharibi]] [[historia ya Utawa]] ilitokeza aina nyingine mbalimbali.
 
Katika [[Kanisa Katoliki]], ni [[mwamini]] yeyote aliyejiweka [[wakfu]] kwa [[Mungu]] hasa kwa kushika [[useja mtakatifu]], nalakini kwa kawaida pia [[ufukara]] na [[utiifu]].
 
Mara nyingi watawa wanaunda ma[[shirika]] yenye [[karama]] moja inayofafanuliwa na kuratibiwa katika [[kanuni]] na [[katiba]] maalumu.
 
Mtawa anaweza kuwa [[mwanamume]] au [[mwanamke]], mwenye [[daraja takatifu]] au la.
 
{{mbegu-dini}}
 
[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Ukristo]]
[[Jamii:Kanisa Katoliki]]
[[Jamii:Mashirika ya kitawa]]