Wakfu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d The file Image:Consagracion.jpg has been removed, as it has been deleted by commons:User:INeverCry: ''Copyright violation, see commons:Commons:Licensing''. ''Translate me!''
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Painting of Ste Genevieve in the Church of Ste Genevieve in Ste Genevieve MO.jpg|thumb|250px|[[Mtakatifu Genevieve]] akiwekwa wakfu na [[askofu]]: [[mchoro]] wa [[mwaka]] [[1821]] ([[Ste. Genevieve, Missouri]]).]]
'''Wakfu''' ni [[neno]] la [[mkopo]] kutoka [[lugha]] ya [[Kiarabu]] linalomaanisha hali ya kutengwa na matumizi mengine, hasa kwa ajili ya matumizi ya ki[[dini]] tu.
 
[[Watu]], [[kitu|vitu]] na [[mahali]] wanaweza kuwekwa wakfu kwa namna mbalimbali.
'''Wakfu''' ni neno la mkopo kutoka [[lugha]] ya [[Kiarabu]] linalomaanisha hali ya kutengwa na matumizi mengine, hasa kwa ajili ya matumizi ya ki[[dini]] tu.
 
Katika [[Ukristo]], watu wanaweza kuwekwa wakfu hasa kwa njia ya [[sakramenti]] zisizoweza kurudiwa kwa sababu zinatia [[alama isiyofutika milele]] (yaani [[ubatizo]], na kwa [[madhehebu]] mengine pia [[kipaimara]] na [[daraja takatifu]]), lakini pia kwa kushika [[maisha]] ya pekee katika [[useja mtakatifu]] (kwa kawaida pamoja na [[ufukara]] na [[utiifu]]).
Watu, vitu na mahali wanaweza kuwekwa wakfu kwa namna mbalimbali.
 
Katika [[Ukristo]], watu wanaweza kuwekwa wakfu hasa kwa njia ya [[sakramenti]] zisizoweza kurudiwa kwa sababu zinatia [[alama isiyofutika milele]] (yaani [[ubatizo]], na kwa [[madhehebu]] mengine pia [[kipaimara]] na [[daraja takatifu]]), lakini pia kwa kushika maisha ya pekee katika [[useja mtakatifu]] (kwa kawaida pamoja na [[ufukara]] na [[utiifu]]).
 
Vitu na mahali vinaweza kuwekwa wakfu hasa kwa ajili ya [[ibada]], k.mf. [[vyombo vya ibada]], [[mavazi ya ibada]] na [[kanisa]].
Mstari 14:
*[http://www.russianorthodoxchurch.ws/synod/eng2006/9enmelbournecathedral.html Photos of Consecration of Altar and Antimens]
*[http://www.goarch.org/en/ourfaith/articles/article8420.asp The Sanctification of Holy Chrism]
 
{{mbegu-dini}}
 
[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Ukristo]]
[[Jamii:Mashirika ya kitawa]]
 
[[hi:अभिषेक]]