Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tengua pitio 965851 lililoandikwa na Riccardo Riccioni (Majadiliano)
Mstari 1:
Kuna [[Kamusi Elezo za Wiki]] za lugha mbalimbali. Baadhi ni kubwa na nyingine bado ni ndogo ziko mbioni kuendelezwa. Kamusi elezo zote zinahitaji makala fulani za msingi.
 
Kwenye kurasa za meta.wikipedia.org kuna majadiliano mfululizo hizi makala za kimsingi ni zipi. Tokeo la majadiliano ni [http://meta.wikimedia.org/wiki/List_of_articles_all_languages_should_have orodha ya Kiingereza ya makala ya msingi kutoka meta:wikipedia] inayoendelea kuhaririwa.
 
Hapo chini ni mada katika wikipedia ya Kiingereza (ambayo ni wikipedia kubwa zaidi na hivyo msingi kwa kazi hii) ambazo hazikuonekana katika wikipedia ya Kiswahili kwa "macho" za roboti zinazolinganisha wikipedia za lugha mbalimbali.
Chanzo chake ni [http://meta.wikimedia.org/wiki/List_of_Wikipedias_by_sample_of_articles/Absent_Articles#sw_Kiswahili Makala zisizoonekana kati ya 1000 za msingi - Absent_Articles#sw_Kiswahili].
 
'''Kila mwanawikipedia anaombwa kuanzisha makala kwa Kiswahili au kuitafsiri. Kubofya jina nyekundu upande wa kulia itaanzisha makala mpya kwa Kiswahili. Kama ni makla ya jina unaweza kuanza mara moja. Kama ni bado jina la Kiingereza uitafsiri kwanza kabla ya kuanza.'''
 
Tahadhari: wakati mwingine roboti zinazolinganisha wikipedia mbalimbali zinaweza kukosa. kwa mfano hawakutambua makala ya "[[Brussels]]" katika wikipedoa yetu na kuiandika katika orodha hii - lakini makala iko. Yeyote anayetambua kosa la aina hii anaweza kuisahihisha kwa kuingiza kwa mkono makala husika ya wikipedia ya Kiswahili.
 
Kwa orodha kamili ya makala zote 1000 tazama hapa: '''[[Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo/Zote 1000]]'''.
 
Baada ya kumaliza kuna pia orodha iliyopanishwa ya makala 10,000 '''[[Meta:List of articles every Wikipedia should have/Expanded]]'''
 
=Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 ya kimsingi=
''<small>(hali ya Februari 2016) - upande wa kushoto (buluu) unaonyesha makala za Kiingereza, upande wa kulia (nyekundu) ni viungo kwa wikipedia ya Kiswahili ambako makala hizo haziko bado (isipokuwa zile zilizoandikwa tangu kutunga orodha hii)</small>''<br>