Wilaya ya Missenyi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Bot: Replacements: fix URL prefix
Mstari 1:
'''Wilaya ya Misenyi''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Kagera]]. Ilianzishwa mwaka 2007 kutokana na maeneo ya [[wilaya ya Bukoba Vijijini]]. Wilaya hii imepakana na Uganda upande wa kaskazini, Ziwa Viktoria upande wa mashariki na Wilaya ya Karagwe, Mkoa wa Kagera uko upande wa kusini. Eneo la wilaya liko upande wa magharibi ya [[Ziwa Viktoria]].
 
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 202,632 <ref>[http://http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Kagera - Missenyi District Council]</ref>
 
Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi (Missenyi District Council) ni moja kati ya serikali 8 za kiwilaya kwenye Mkoa wa Kagera. Eneo la wilaya ni 2709 [[km²]].