Bukoba (mji) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
d Bot: Replacements: fix URL prefix |
||
Mstari 17:
}}
'''Bukoba''' ni [[manisipaa]] katika nchi ya [[Tanzania]] ambayo ni makao makuu ya [[Mkoa wa Kagera]]. Eneo lake liko chini ya Halmashauri ya Bukoba mjini (Bukoba Municipal Council) yenye madaraka ya [[wilaya]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 128,796<ref>[
Bukoba iko kando la [[Ziwa Viktoria Nyanza]] upande wa magharibi. Mji ulianzishwa kuanzia 1890 wakati Wajerumani waliteua sehemu hii kwa boma la jeshi lao la kikoloni; likaendelea kuwa makao makuu ya [[mwakilishi mkazi]] Mjerumani katika falme ndogo za Karagwe, Washubi na Wahaya ambazo hazikuingizwa bado moja kwa moja katika koloni ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]].
|