Masasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Bot: Replacements: fix URL prefix
Mstari 1:
[[Picha:Tanzania Masasi location map.svg|thumb|250px|Mahali pa Masasi (kijani) katika [[mkoa wa Mtwara]].]]
'''Wilaya ya Masasi''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Mtwara]]. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 247,993 <ref>[http://http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Mtwara region - Masasi District Council]</ref>
Maeneo ya mji wa Masasi yalikuwa sehemu ya wilaya hii lakini tangu mwaka 2011 mji ulipata halmashauri yake kwa hiyo kama wilaya ya pekee.