Nyang'oro : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
d Bot: Replacements: fix URL prefix |
||
Mstari 1:
'''Nyang'oro ''' ni [[jina]] la [[kata]] ya [[tarafa ya Ismani]] [[Wilaya ya Iringa Vijijini]] katika [[Mkoa wa Iringa]], [[Tanzania]]. Wakati wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa 2[[0]]12, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,810 waishio humo. <ref>[
Ni eneo maarufu kwa [[kilimo]] hasa cha [[mahindi]], ingawa ardhi imechoka kutokana na matumizi makubwa, hasa katika [[miaka ya 1950]] na [[miaka ya 1960|1960]], Ismani peke yake ilipokuwa inaweza kuzalisha kuliko Tanzania nzima.
|