Mkoa wa Dodoma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mkoa wa Dodoma''' uko katikati ya Tanzania umepakana na mikoa ya [[Mkoa wa Manyara|Manyara]], [[Mkoa wa Morogoro|Morogoro]], [[Mkoa wa Iringa|Iringa]] na [[Mkoa wa Singida|Singida]]. Sehemu kubwa ya eneo lake ni [[nyanda za juu]] kati ya [[mita]] 830 hadi 2000 juu ya [[UB]].
 
Eneo lote la mkoa lina 41,310 [[km²]]. Kuna [[wilaya]] tano zifuatazo:
 
{| {{jedwalimaridadi}}
Mstari 24:
 
==Mawasiliano==
Mawasiliano ni mazuri kwa barabara ya lami kuanzia Dodomamji mjiniwa Dodoma kwenda [[Morogoro]] - [[Daressalaam]], barabara zingine ni za udongo to pamoja na njia kuu kuelekea Tanzania ya Magharibi - [[Rwanda]] - [[Kongo]]. Pia hali ya barabara ya kale ya "Cape - Cairo" inayovuka Dodoma kutoka kazkazini ([[Arusha]] - Kondoa) kwenda kusini si nzuri tena. Kuna pia njia ya [[Reli ya Kati]] kutoka Daressalaam kwenda [[Kigoma]] yenye matatizo ya mara kwa mara. Dodoma mjini kuna uwanja wa kitaifa wa ndege.
 
==Hali ya hewa na kilimo==