Tofauti kati ya marekesbisho "Arusha"

28 bytes removed ,  miaka 15 iliyopita
no edit summary
''Kwa matumizi tofauti ya neno "Arusha" tazama [[Arusha (maana)]]''
[[Image:Arusha_Clocktower.jpg|thumb|right|Mji wa Arusha]]
[[Image:Arusha.jpg|thumb|right|Arusha na mlima wa Meru]]
'''Arusha, mkoa ([[Mkoa wa Arusha]]), wilaya na mji''' katika [[Tanzania]] kazkazini-mashariki.
 
'''Mji wa Arusha''' ni kati ya miji kumi mikubwa ya Tanzania. Kuna wakazi 341,155 (mw. 2005 – kutoka mn. 50,000 mw. 1970). Eneo lake ni 1400m juu ya [[uwiano wa bahari]] likiwa karibu na mlima wa [[Meru]] (4565m). Utalii na kilimo ni mgongo wa uti wa uchumi. Kwa sababu ya idadi kubwa ya watalii mji umepachikwa jina la “Dar-es-Safari”. Kuna pia viwanda muhimu vya kahawa, kusaga nafaka, kusafisha ukonge, kukuza maua za kuleta nje, pombe ya bia.