Dini asilia za Kiafrika : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
dNo edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Dini asilia za Kiafrika''' ni kati ya [[dini za jadi]] ambazo zinadumu hata leo, ingawa wafuasi wake wanapungua mwaka hadi mwaka kulingana na [[dini]] zilizotokea [[Mashariki ya Kati]], hasa [[Ukristo]] na [[Uislamu]], ambazo zinazidi kuenea [[Bara|barani]] [[Afrika]].
Dini za Kiafrika zinafuata [[imani]] maalumu, sawa kabisa na hizo za nchi za ughaibuni ambazo zimeleta mfumo mpya wa [[Ibada|kuabudu]]. Badala ya kuabudia ma[[pango]]ni au [[msitu|misituni]] kama Waafrika walio wengi walivyofanya kwa [[karne]] nyingi, zimehimiza kujenga ma[[kanisa]] na [[misikiti]] kwa ajili ya kumwabudu [[Mungu]] kadiri ya [[ufunuo]] wake mwenyewe.
[[Madhehebu]] mengi ya Kikristo yamekuwa yakimuabudu Mungu
Katika [[Amri Kumi]] za [[Biblia]], Waafrika kwa jumla walikuwa nazo hata kabla ya kuja kwa [[Wazungu]]: walijua kwamba imewapasa kuwaheshimu [[wazazi]] wao, kutoua, kutoiba wala kufanya kinyume na maagizo ya wazee wao.
Kwa mtazamo wa Kikristo, Mungu mwenyewe ndiye aliyewaandaa hivyo Waafrika kupokea [[wokovu]] kwa njia ya [[Yesu Kristo]], aliyekuja si kutangua bali kukamilisha yale yote yaliyo mema katika [[binadamu]] wote.
Pamoja na hayo yote, bado baadhi ya {{mbegu-dini}}
[[Jamii:Dini za Afrika|*]]
|