Lugha za Kihindi-Kiulaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
{{def}}
No edit summary
Mstari 4:
[[Picha:IE3500BP.png|thumb|232px|right|Uenezaji katikati ya [[milenia ya 2 KK]]]]
[[Picha:IE2500BP.png|thumb|232px|right|Uenezaji takriban mwaka [[250 KK]]]]
'''Lugha za Kihindi-Kiulaya''' ni jamii kubwa ya [[lugha]] duniani. Kuna wasemaji [[bilioni]] 2.5 katika [[Bara|mabara]] yote. Uenezaji

Uenezi huo umetokana hasa kutokana na [[historia]] ya [[ukoloni]] wa Kiulaya[[Wazungu|Kizungu]] uliopeleka lugha za [[Ulaya]] pande zote za dunia.
[[Picha:IndoEuropeanTree.svg|thumb|300px| Lugha za Kihindi-Kiulaya]]
== Jina la Kihindi-Kiulaya ==
[[Jina]] la Kihindi-Kiulaya limepatikana tangu [[karne ya 19]]. [[Wataalamu]] walitambua ya kwamba lugha za kale zinazotunzwa kimaandishi kama [[Kilatini]], [[Kigiriki]], [[Kisanskrit]] na [[Kiajemi]] cha Kale zinafanana kati yaoyake pia na lugha zingine za Ulayakisasa za kisasaUlaya na [[Uhindi]] wa [[Kaskazini]].
Lugha za jamii ya Kihindi-Kiulaya zinafanana katika [[msamiati]] na [[sarufi]].
 
== Nadharia ya asili na usambazaji ==
Inaaminika ya kwamba lugha hizi zilikuwa na asili ya pamoja katika lugha isiyojulikana tena ya [[Lugha za Kihindi-Kiulaya|Kihindi-Kiulaya]] asilia. Wasemaji wake wanaaminiwa kuwa walisambaza takriban miaka 6.000 iliyopita kutoka sehemu za Asia ya Magharibi. Sehemu ilihamia kwenda magharibi na kuingia katika Ulaya, sehemu nyingine ilihamia kwenda [[Uajemi]] na [[Bara Hindi]].
 
Wasemaji wake wanaaminiwa kuwa walisambaa takriban miaka 6.000 iliyopita kutoka sehemu za [[Asia ya Magharibi]]. Sehemu ilihamia kwenda [[magharibi]] na kuingia Ulaya, sehemu nyingine ilihamia kwenda [[Uajemi]] na [[Bara Hindi]].
Kuna nadharia mbalimbali kuhusu historia hiyo.
 
Kuna [[nadharia]] mbalimbali kuhusu historia hiyo.
 
Kati ya lugha hizi nikuna zifuatazo:
 
::''( † inamaanisha ya kwamba lugha hii haina wasemaji tena kama [[lugha hai]])''
 
Kati ya lugha hizi ni zifuatazo:
::''( † inamaanisha ya kwamba lugha hii haina wasemaji tena kama lugha hai)''
 
* [[Kialbania]]
Line 37 ⟶ 38:
 
* [[Lugha za Kiitalia]]
** [[Lugha za Kirumi]] ''(k.m. [[Kilatini]] †, [[Kiitalia]], [[Kifaransa]], [[Kihispania]], [[Kireno]])''
** [[Lugha za Kiumbria]] †
 
Line 47 ⟶ 48:
* [[Lugha za Kislavoni]]
** [[Kislavoni cha Mashariki]] (k.m. [[Kirusi]], [[Kiukraine]])
** [[Kislavoni cha Magharibi]] (k.m. [[Kipoland]], [[KicekiKicheki]])
** [[Kislavoni cha Kusini]] (k.m. [[Kiserbia]], [[Kikroatia]])
 
{{mbegu-lugha}}
{{DEFAULTSORT:Hindi-Ulaya]]
 
[[Jamii:Lugha za Kihindi-Kiulaya]]
[[Jamii:Makundi ya lugha]]