Lugha za Kirumi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Map-Romance_Language_World.png|350px|right|thumb|''Lugha za Kirumi'' duniani:<br />'''<font color="#0000FF">buluu</font>''' – [[Kifaransa]]; '''<font color="00B927">kijani</font>''' – [[Kihispania]]; '''<font color="#FF8400">machungwa</font>''' – [[Kireno]]; '''<font color="#FFFF00">njano</font>''' – [[Kiitalia]]; '''<font color="#FF0000">nyekundu</font>''' – [[Kiromania]]]]
 
'''Lugha za Kirumi''' ni [[lugha]] zilizotokana na [[Kilatini]] cha kale kilichokuwa moja kati ya lugha za kale za [[Kihindi-Kiulaya]].
 
== Kilatini cha Roma ya Kale kama lugha mama ==
Kilatini kilikuwa [[lugha rasmi]] ya [[utawala]], [[elimu]] na [[biashara]] katikaya [[Dola la Roma]] lililotawala maeneo ya [[Ulaya ya Kusini]], [[Ulaya ya Magharibi]], [[Afrika ya Kaskazini]] na [[Asia ya Magharibi]] kwa miaka mingi, hasa kati ya [[karne ya 1 KK]] na [[karne ya 5]] [[BK]].
 
Kilatini kiliendelea kuwa lugha ya watu wengi katika maeneo mbalimbali ya [[himaya]] hii kubwa hasa mjini[[Mji|mijini]].
Katika sehemu hizo zilijitokeza [[lahaja]] za pekee kulingana na lugha asilia za wenyeji.

Baada ya kuporomoka kwa [[Dola la Roma la Magharibi]], lahaja hizo za Kilatini katika nchi mbalimbali ziliendelea kuchanganyikana na lugha hizo na zile za [[Kabila|makabila]] ya [[KijerumaniWagermanik]] yaliyoteka maeneo hayo yote na hatimaye zikawa lugha za pekee.
 
== Lugha za Kirumi zinazotumiwa kitaifa: ==
Lugha ambazo ni muhimi zaidi kama lugha za [[taifa|kitaifa]] ni:
* [[Kifaransa]]
* [[Kihispania]]
Line 19 ⟶ 21:
 
== Lugha za Kirumi zinazotumiwa kieneo: ==
* [[Kikatalonia]] (català) ([[Hispania]], [[Ufaransa]] ya Kusini, [[Andorra]] na kwenye [[visiwa]] kadhaa za [[Mediteranea]]) - wasemaji 8,200,000
* [[Kigalicia]] (galego) (Hispania, jimbo la [[Galicia]]) - wasemaji 3,000,000
* [[Kiliguria]] (lìgure) ([[Italia ya Kaskazini]]: [[mikoa]] ya [[Liguria]], [[Piemonte]] na [[Sardegna]])
* [[Kioksitania]] (occitan) ([[kusini]] yamwa Ufaransa, [[milima]] ya [[Italia]] ya Kaskazini-Magharibi na [[bonde la Aran]] la Hispania)- wasemaji 2,800,000
* [[Kifriuli]] (furlan) (Italia Kaskazini-Mashariki: mkoa wa [[Friuli]]) - wasemaji 350,000
* [[Kiladino]] (ladin dolomitan) (Italia ya Kaskazini: mikoa ya [[Trentino-Alto Adige]] na [[Veneto]]) - wasemaji 40.000
Line 28 ⟶ 30:
 
== Lugha za kimataifa ==
Lugha za Kihispania, Kifaransa na Kireno zimesambaa duniani kwa sababu ni lugha kuu za nchi ambazo zilikuwa na [[koloni|makoloni]] mengi, zikaacha lugha zao katika nchi nyingi, hasa Kihispania ambacho ni lugha kuu ya bara la [[Amerika]], [[Kireno]] ambacho ni lugha rasmi ya [[Brazili]] na nchi 5 za [[Afrika]] na Kifaransa ambacho ni lugha rasmi katika nchi nyingi za Afrika, Amerika visiwani na [[Kanada]].
 
Kiitalia ni mojawapo ya lugha rasmi za [[Uswisi]], pamoja na nchi ndogondogo za [[San Marino]] na [[Vatikani]].
 
Kiromania ni lugha rasmi ya [[Moldova]] pia, ingawa kwa jina la lahaja yake ya [[Kimoldova]].
<!-- interwiki -->
 
{{mbegu-lugha}}
 
[[Jamii:Kilatini]]
[[Jamii:Lugha za Kirumi|!]]
[[Jamii:Lugha za Kihindi-Kiulaya]]