Maandishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Migrating 81 langlinks, now provided by Wikidata on d:q8192
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ägyptische Sammlung 10.jpg|thumb|350px|[[Sanamu]] ya mwandishi ([[Misri ya Kale]]).]]
[[Picha:WritingSystemsOfTheWorld.svg|thumb|450px|Mitindo ya maandishi duniani <br /><small>'''buluu''': [[alfabeti ya Kilatini]]; '''kibichi''': [[alfabeti ya Kiarabu]]; '''nyekundu''': [[Kikirili]]; '''njano''': [[mwandiko wa Kichina]]; '''kichungwa''': miandiko ya Kihindi</small>.]]
'''Maandishi''' (pia: '''mwandiko''') ni tendo la kushika [[sauti]] za [[lugha]] kwa njia ya [[alama]] zinazoandikwa.
 
== Mitindo ya miandiko ==
Sehemu kubwa ya maandishi [[duniani]] inatumia [[alfabeti]] mbalimbali. na katiKati yaoyake [[alfabeti ya Kilatini]] imesambaa zaidi, ikifuatwa na [[alfabeti ya Kiarabu]] na [[alfabeti ya Kikirili]].
 
[[Asia ya Mashariki]] imeendelea kutumia maandishi yake ya alama zinazoonyeshazinazodokeza [[neno]] lote badala ya [[herufi]] tu. Mtindo wa kutumia alama kwa neno lote ulitumiwa pia katika tamaduni[[utamaduni]] zawa [[Misri ya Kale]] auna [[Meksiko ya Kale]].
 
Miandiko ya [[Uhindi]], inayotokana na [[mwandiko wa Brahmi]], hutumia miandiko mbalimbali inayoonyesha [[silabi]]. Hata [[lugha za [[Ethiopia]] hufuata mtindo wa kufanana nayo.
 
[[Picha:Ägyptische Sammlung 10.jpg|thumb|350px|Sanamu ya mwandishi ([[Misri ya Kale]])]]
== Historia ya maandishi ==
Hakuna uhakikahakika maandishi yalianza lini na wapi duniani. [[Wataalamu]] wengi huona ya kwamba [[Sumer]] katika [[Mesopotamia]] ilikuwa na maandishi ya kwanza duniani.
 
Wengine huona ya kwamba [[sanaa]] ya kuandika ilianzishwa na watu mbalimbali kwa nyakati tofauti katika pande mbalimbali za [[dunia]]. Si rahisi kuwa na uhakikahakika kwa sababu maandishi yenyewe hudumu kwa muda tu kutegemeana na [[mata]] na vifaa vilivyotumiwa.
 
Maandishi kwenyepenye [[mawe]] magumu tena penye [[hali ya hewa]] [[yabisi]] hukaa miaka maelfu[[elfu]] kadhaa. Kwa njia hiihiyo tuna ushuhuda wa maandishi ya mapema hasa kutoka nchi kama [[Mesopotamia]], [[Misri]], [[Bara Hindi]] na [[China]]. Lakini hatuwezi kukana uwezekano wa maandishi yaliyotumia mata kama [[magome]] ya [[miti]] yanayooza haraka hasa katika [[mazingira]] penyeyenye [[mvua]] nyingi.
 
Watu waliandika juu ya miamba, [[matofali]], [[bao]] za [[nta]], [[kitambaa]], ubaoni au [[mabati]] ya [[metali]] mbalimbali. [[Mainka]] wa [[Peru]] walitumia mwandiko wa mafundo kwenye [[kamba]].
 
Kati ya mata zote za kutunza maandishi ni hasa [[karatasi]] inayotumiwa zaidi leo. Ilibuniwa China inapojulikanailipojulikana mnamo mwaka [[100]] [[BK]] na kusambaa polepole [[Bara|barani]] [[Asia]] halafu [[Ulaya]].
 
Siki hizi maandishi ya elektronia yameanza kusambaa pamoja na matumizi ya [[tarakilishi]] na [[mtandao]].
 
Siki hizi maandishi ya elektronia[[elektroniki]] yameanza kusambaayamesambaa pamoja na matumizi ya [[tarakilishi]] na [[mtandao]].
 
=== Tazama pia ===
Line 35 ⟶ 34:
 
[[Jamii:Mwandiko|*]]
 
 
 
[[ba:Имлә]]
[[ur:رسم خط]]