Tofauti kati ya marekesbisho "Kasiba"

1 byte added ,  miaka 6 iliyopita
d (Bot: Migrating interwiki links, now provided by Wikidata on d:q487192)
 
 
Kwa kawaida kasiba ndefu huongeza umakinifu wa kulenga unaopungua kama kasiba ni fupi kama kwenye bastola.
[[Image:Gun barrels cross sectional drawingdrawing1.pngsvg|thumb|300px|Kasiba mbalimbali: a) Kasiba nyororo ya gobori au mzinga wa kihistoria; b) kasiba yenye mifuo ndani yake kwa mwendo wa sukurubu; c)kasiba ya mizinga ya kisasa yenye umbo la pembenyingi kwa mwendo wa sukurubu]]
Tangu karne ya 19 kasiba imepewa mifuo ndani yake kwa mwendo wa sukurubu iliipa risasi mwendo wa kuzunguka na kuongeza ukamilifu wa kupiga shabaha.