Lugha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Link FA now hanlded in Wikidata using AWB (10783)
No edit summary
Mstari 1:
'''Lugha''' (kutoka [[karKiarabu]]: لغة) ni [[utaratibu]] kwa ajili yawa kuwasiliana kati ya [[binadamu]] au pengine hata kati ya [[Viumbehai|viumbe]] vyovyote venyewenye [[akili]].
 
Mwaka wa [[2008]] ulikuwa [[Mwaka wa Lugha wa Kimataifa]].
 
Somo la lugha linaitwa [[maarifa ya lugha]] au [[isimu]].
== Maana ya neno "lugha" ==
Lugha ni mfumo wa [[sauti]] za [[nasibu]] zilizokua katika mpango maalum na zilizokubaliwa na [[jamii]] ya watu fulani ili zitumike katika [[mawasiliano]].
 
Mara chache neno lugha linatumika kwa taratibu za kuwasiliana za [[mnyama|wanyama]]. Lakini taratibu hizo ni tofauti sana: Katikakatika lugha za wanyama, [[sauti]] moja ina maana moja tu. Lakini katika lugha za binadamu, sauti nyingi zinaunganishwa kutengeneza [[Neno|maneno]], na maneno mengi yanaunganishwa kutengeneza [[sentensi]]. Hivyo mnyama ambaye anaweza kutengeneza sauti [[ishirini]] tofauti anaweza "kusema" mambo ishirini tu. Kwa upande mwingine mtu ambaye anaweza kutengeneza sauti ishirini, anaweza kusema mambo zaidi ya millioni[[milioni]].
 
== Tabia za lugha ==
* Lugha huzaliwa
* Lugha hukua = (kuongezeka kwa maneno, kuongezeka kwa idadi ya wazungumzaji, kuwa na mawanda mapana, kusanifiwa).
* Lugha hurithiwa
* Lugha huathiriana
* Lugha lazima ijitosheleze
* Lugha hufa
 
== Sifa za lugha ==
* Lugha lazima iwe inahusu binadamu
* Sauti-sauti hufanywa na mwanadamu
* Lugha hufuata misingi ya [[fonimu]], yaani, a, b, c, h, d, z
* Lugha huwa na mpangilio maalumu wenye kubeba maana. Mpangilio huo huanza na fonimu ---> Silabi ---> Neno
* Lugha hujitambulisha ili kuzalisha maneno mengi.
Line 25 ⟶ 27:
== Dhima za lugha ==
# Lugha hutumika kama chombo cha mawasiliano kwa kupashiana habari.
# Lugha hutumika kujenga [[umoja]], [[mshikamano]] na [[ushirikiano]] miongoni mwa wanajamii.
# Lugha hutumika kutunza, kukuza, na kuendeleza [[utamaduni]] wa [[jamii]].
# Lugha hutumika katika kutetea [[maarifa]] mbalimbali (ni nyenzo ya kufundishia).
# Lugha hutumika kama [[alama]] ya [[utambulisho]] wa [[kabila]]/jamii au [[taifa]] fulani.
 
== Aina za lugha ==
Kimsingi lugha ni moja. Uwasilishwaji wake ndiyondio huigawa katika [[tanzu]]/aina kuu mbili:
# Lugha ya [[mazungumzo]]
# Lugha ya [[maandishi]]
 
=== Lugha ya mazungumzo ===
Hii ni lugha ambayo huwasilishwa kwa njia ya mazungumzo ya [[mdomo]] - na hurithishwa kutoka [[kizazi]] kimoja hadi kingine kwa njia ya mazungumzo. Lugha ya mazungumzo ni kongwe, hai na halisi zaidi ya mzungumzaji na ina maana nyingi, kwani mzungumzaji na msikilizaji uahuwa ana kwa ana katika mazingira mamoja.
;Stadi za lugha ya mazungumzo ni kuzungumza na kusikiliza.
 
Line 47 ⟶ 51:
 
=== Lugha ya maandishi ===
Hii ni lugha ambayo huwasilishwa kwa njia ya maandishi. Hii ni kiwakilishakiwakilishi cha lugha ya mazungumzo katika mfumo wa maandishi. Lugha ya maandishi ni changa kwani imeanza karne[[milenia]] za hivi karibuni baada ya kuvumbuliwa kwa maandishi.
;Stadi za lugha ya maandishi ni kuandika na kusoma.
 
Line 59 ⟶ 63:
|}
 
Kwa kawaida, lugha ni sehemu ya utamaduni wa [[umma]] fulani. Lugha ya aina hii inaitwa [[lugha asilia]]. Lakini pia kuna [[lugha ya kuundwa|lugha za kuundwa]].
 
== Nyanja za lugha ==
Lugha ina nyanja kuu mbili, nazo ni:
* [[Sarufi]] - hushughulikia [[kanuni]] za lugha
* [[Fasihi]] - hushughulikia [[sanaa]] zitokanazo na lugha husika ili kuumba kazi mbalimbali za kifasihi.
== Sarufi ==
 
== Kukua na kufa kwa lugha ==
Tangu siku za kwanza za binadamu, lugha zimekuwa zikichipuka, na kukuwa nakukua, kutangaa na kufa kama kiumbe chochoteyeyote mwingine. Kwa hivyo, lugha zilizokuwepozilizopo leo ulimwenguni, huenda baada ya [[karne]] nyingi kupita zikatoweka na kuzuka nyenginezonyinginezo.
 
Leo ulimwenguni mathalan, kuna lugha karibu 6,700, zikiwa 1,000 katika [[bara]] la [[kaskazini]] na la [[kusini]] yala Marekani[[Amerika]], 2,000 zikiwa kwenye bara la [[Afrika]], 230 katika bara la [[Ulaya]], 2,200 katika bara la [[Asia]], na 1,300 katika bara la [[Australia na Pasifiki|Oshania]] ([[Australia]] na nchi jirani nayo).
Tangu siku za kwanza za binadamu, lugha zimekuwa zikichipuka na kukuwa na kutangaa na kufa kama kiumbe chochote mwingine. Kwa hivyo, lugha zilizokuwepo leo ulimwenguni, huenda baada ya karne nyingi kupita zikatoweka na kuzuka nyenginezo.
 
Leo ulimwenguni mathalan, kuna lugha karibu 6,700, zikiwa 1,000 katika bara la kaskazini na kusini ya Marekani, 2,000 zikiwa kwenye bara la Afrika, 230 katika bara la Ulaya, 2,200 katika bara la Asia, na 1,300 katika bara la Oshania (Australia na nchi jirani nayo).
 
== Kurasa zinazohusiana ==
* Lugha ya [[Kiarabu]]
* Lugha ya [[Kiesperanto]]
* Lugha ya [[Kiingereza]]
* Lugha ya [[Kiswahili]]
* [[Lugha asilia]]
* [[Lugha ya kuundwa]]
Line 83 ⟶ 86:
* [[Lango:Lugha|Lango la lugha]]
 
==Viungo vya nje==
{{Commons|Language}}