Tofauti kati ya marekesbisho "Uainishaji wa kisayansi"

124 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Uainishaji.png|right|thumb|150px|Ngazi za uainishaji katika biolojia; ngazi ndogo za kati hazionyeshwi.]]
'''Uainishaji wa kisayansi''' ni namna jinsi [[wataalamu]] wa [[biolojia]] hupangawanavyopanga [[viumbehai]] kama [[mimea]] na [[wanayamawanyama]] kwa vikundi kwenye ngazi mbalimbali. Inaweza kuitwa pia '''taksonomia'''.
 
Tangu muda mrefu watu walitambua ya kwamba wanyama au mimea mbalimbali wanafanana kati yao kwa namna moja au nyingine. Wataalamu walijaribu kupanga aina hizihizo kwa vikundi vyenye tabia za pamoja. [[Carolus Linnaeus]] alianza kuzipanga kwa muundo ulioeleweka kulingana na tabia za maubile[[maumbile]] yao.
'''Uainishaji wa kisayansi''' ni namna jinsi wataalamu wa [[biolojia]] hupanga [[viumbehai]] kama [[mimea]] na [[wanayama]] kwa vikundi kwenye ngazi mbalimbali. Inaweza kuitwa pia '''taksonomia'''.
 
Mfumo wa Linnaeus uliendelezwa baadaye kulingana na [[nadharia]] ya [[Charles Darwin]] inayoona ya kwamba [[spishi]] mbalimbali huwa na [[chanzo]] cha pamoja, kwa hiyo inawezakanainawezekana kupanga [[uhai]] wote kama matawi ya [[mti]] yenye [[tawi|matawi]] makubwa na, tena madogo yanayotoka kwenye makubwa.
Tangu muda mrefu watu walitambua ya kwamba wanyama au mimea mbalimbali wanafanana kati yao kwa namna moja au nyingine. Wataalamu walijaribu kupanga aina hizi kwa vikundi vyenye tabia za pamoja. [[Carolus Linnaeus]] alianza kuzipanga kwa muundo ulioeleweka kulingana na tabia za maubile yao.
 
[[Ujuzi]] wa kisasa kutokana na [[utafiti]] wa [[DNA]] ndani ya [[seli]] za viumbehai unaendelea kuongeza ujuzi wetu kwa hiyo katika mengi uainishaji ni utaalamu unaozidi kubadilika.
Mfumo wa Linnaeus uliendelezwa baadaye kulingana na nadharia ya [[Charles Darwin]] inayoona ya kwamba spishi mbalimbali huwa na chanzo cha pamoja kwa hiyo inawezakana kupanga uhai wote kama matawi ya mti yenye matawi makubwa na tena madogo yanayotoka kwenye makubwa.
 
Ujuzi wa kisasa kutokana na utafiti wa [[DNA]] ndani ya seli za viumbehai unaendelea kuongeza ujuzi wetu kwa hiyo katika mengi uainishaji ni utaalamu unaozidi kubadilika.
 
== Majina ya Kisayansi ==
Kila spishi ya viumbehai inapewa [[jina la kisayansi]] lenye [[neno|maneno]] mawili kufuatana na muundo wa [[uainishaji]]. Jina la Kisayansi linaanza kwa kutaja [[jenasi]] inayoandikwa kwa [[herufi]] kubwa, halafu neno la pili kama sehemu maalummaalumu ya jina yala spishi ile. Maneno hayahayo huandikwa kwa [[herufi za italiki]]. Kwa mabano hufuata jina la mtaalamu wa spishi pamoja na [[mwaka]] alikoandikaalioandika maelezo yake.
 
Kwa mfano [[paka]] anaitwa ''Felis silvestris'' (Linnaeus, [[1758]]) na spishi hii inajumlisha paka wa porini na paka wa nyumbani.
* [[Felis]] ni jina la jenasi. Jenasi huandikwa kwa herufi kubwa.
* "silvestris" ni sehemu ya pili laya neno; linasema "wa msituni" kwa sababu inaaminiwa ya kwamba asili ya paka hizi zote ni aina ya paka wa porini wa [[Asia]], [[Ulaya]] na [[Afrika Kaskazini]].
 
Paka wa nyumbani anayefugwa na watu anatazamiwaanatazamwa kama [[nususpishi]], na nususpishi hii inaweza kutofautishwa kwa kuongeza neno la tatu "catus" kuwa "''Felis silvestris catus''". Hili ni jina la nususpishi ya paka wanaofugwa na [[watu]]. Nususpishi hii ina aina nyingi ndani yake, kutokana na [[ufugaji]] na [[uteuzi]] lakini zote zimo ndani ya nususpishi ileile.
Hili ni jina la nususpishi ya paka wanaofugwa na watu. Nususpishi hii ina aina nyingi ndani yake kutokana na ufugaji na uteuzi lakini zote zimo ndani ya nususpishi ileile.
 
Katika mabano lipo jina la mtaalamu aliyeeleza spishi hii mara ya kwanza kwa namna ya kisayansi pamoja na mwaka alipoandika. Katika mfano wa paka ni Carolus Linnaeus anayefupishwa mara nyingi kama "L.". Aliandika [[kitabu]] chake mwaka [[1728]].
 
== Umbo la majina katika uinishaji ==
Katika ainishajiuainishaji wataalamu wamepatana jinsi ya kutumia majina kwa ngazi mablimbali. Umbo la majina haya hufuata [[sarufi]] ya [[Kilatini]].
 
{| class=wikitable
 
[[Jamii:Uainishaji]]
[[Jamii:Biolojia]]