Mexico (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata)
No edit summary
Mstari 18:
}}
 
[[Picha:Escudo de la ciudad de México.svg|150 px|thumb|Nembo ya Jiji la Mexiko tangu mwaka 1523.]]
 
'''Jiji la Meksiko''' ''(kwa [[Kihisp.Kihispania]]: Ciudad de México)'' ni [[mji mkuu]] pia [[mji]] mkubwa wa nchi ya [[Mexiko]]. Iko kwenye nyanda za juu ya Mexiko kwenye kimo cha 2000 [[m]] juu ya [[UB]] katika bonde ndefu linalopakana na milima mirefu. Kati ya milima hii ni [[volkeno]] za [[Popocatepetl]] und [[Iztaccihuatl]] na nyororo ya [[Sierra Nevada (Mexiko)|Sierra Nevada]].
 
Uko kwenye [[nyanda za juu]] za Mexiko kwenye [[kimo]] cha [[m]] 2000 juu ya [[UB]] katika [[bonde]] refu linalopakana na [[milima]] mirefu. Kati ya milima hii ni [[volkeno]] za [[Popocatepetl]] na [[Iztaccihuatl]] na nyororo ya [[Sierra Nevada (Mexiko)|Sierra Nevada]].
Mji wa Mexiko ni pia mkoa wa kujitegema huitwa mara nyingi na Wamexiko wenyewe "Mexico DF" au kwa kifupi "DF" (DF = Distrito Federal, Mkoa wa Shirikisho).
 
Mji wa Mexiko ni pia [[mkoa]] wa kujitegemakujitegemea, huitwa mara nyingi na Wamexiko wenyewe "Mexico DF" au kwa kifupi "DF" (DF = Distrito Federal, Mkoa wa Shirikisho), lakini tangu mwaka [[2016]] unaelekea kujitegemea zaidi kiutawala.
Idadi ya wakazi ni milioni 8.7 na pamoja na mitaa ya karibu idadi inafikia karibu milioni 22. Ni kati ya miji mikubwa kabisa duniani.
 
[[Idadi]] ya wakazi ni [[milioni]] 8.79, nalakini pamoja na mitaa ya karibu idadi inafikia karibu milioni 2220.4. Ni kati ya miji mikubwa kabisa [[duniani]].
 
== Historia ==
 
=== [[Tenochtitlan]] ===
[[Historia]] ya mji ulianzailianza [[mwaka]] [[1325]]. Wakati ule kikosi cha [[Azteki]] [[wahamiaji]] walifika kwenye [[ziwa la Texcoco]] na kujenga makao kwenye [[kisiwa]] ziwani wakaitawakauita mji "[[Tenochtitlan]]".
 
Kuna [[hadithi]] ya kale juu ya kuundwa kwa Tenochtitlan ambayoambao ni mji wa Kiazteki uliotangulia Mexiko City.
 
Zamani ile Waazteki waliishi maisha ya kuhamahama na kutafuta mahali pa kujenga mji wa kudumu. [[Mungu]] wao Huitzilopochtli aliwaambia wamtafute anayekalia mpungate (kakati) na kushika [[nyoka]]. Mpungate utapatikana kwenye [[mwamba]] katika kisiwa ziwani. Hadithi yaendelea kusema ya kwamba baada ya matembezi ya miaka 200 walikuta ziwa la Texcoco penye mwamba na mpungate. Walipokaribia [[tai]] aliyeshika nyoka akaketi kenye mpungate huu.
 
Baada ya kupokea [[ishara]] hiyo waliunda mji wao wa Tenochtitlan uliokuwa baadaye mji mkuu wa [[Dola la Azteki]]. Ulikuwa na wakazi 300,000 wakati wa kufika kwa [[Wahispania]] mwaka [[1519]].
 
Mw.Mwaka 1519 alifika Mhispania [[Hernan Cortez]] pamoja na [[jeshi]] yala [[askari]] 450. Baada ya kupokelewakupokewa vizuri na [[mfalme]] wa Azteki [[Montezuma]] walimkamata kama [[mfungwa]] na kuchukua [[dhahabu]] kutoka [[hekalu|mahekalu]].

Wenyeji wa mji waliwashambulia na kuua Wahispania wengi. Cortes aliweza kukimbia akarudi na jeshi mpyajipya akaweza kuteka mji tar.tarehe [[13 Agosti]] [[1521]] na kuuharibu kabisa.
 
=== Mji wa Mexiko ===
Wahispania walianzisha mji mpya juu ya maghofu ya mji wa kale. [[Kanisa|Makanisa]] yalijengwa mahali pa mahekalu ya kale.

Tangu mwaka [[1525]] mji wa Mexiko ulikuwa mahali pa [[serikali]] ya nchi, tangu [[1535]] mji mkuu wa "[[Ufalme Mdogo wa Hispania Mpya]]". Ma[[Kolonikoloni]] zaya Hispania zaya [[Guatemala]], [[Kuba]], [[Florida]] na hata [[Ufilipino]] katika [[Asia]] yalitawaliwa kutoka hapa.
Mji ulikuwa mji mkuuwa wa nchi huru tangu [[1821]].

Katika [[karne ya 20]] ilikua haraka sana.
 
{{mbegu-jio-Mexiko}}
Line 50 ⟶ 58:
[[Jamii:Miji Mikuu Amerika]]
[[Jamii:Miji ya Mexiko| ]]
[[Jamii:Historia ya Meksiko]]