Tofauti kati ya marekesbisho "Biashara ya watumwa"

104 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
Tangu [[karne ya 20]] utumwa na pia biashara ya watumwa zimepigwa marufuku katika mapatano ya kimataifa chini ya usimamizi wa [[Umoja wa Mataifa]].
 
Lakini miaka ya hivi karibuni imeona biashara mpya inayotumia nafasi za usairi wa kisasa; hata kama duniani hakuna utumwa kisheria tena, ni hasa [[wanawake]] na mabinti wanaouzwa kwa [[kazi haramu]] ya [[ukahaba]] kati ya nchi na nchi (53%).
 
Watumwa wamekadiriwa na ofisi za UM kuwa milioni 21 na kuzalisha [[$]] 32,000,000,000 kwa mwaka.
 
==Tazama pia==