Mkoa wa Iringa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 15:
 
==Wakazi==
Mwaka 2012 kulikuwa na wakazi 941,238 <ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Iringa Region]</ref> katika wilaya zifuatazo: [[Iringa KijijiniVijijini]] (wakazi 254,032), [[Wilaya ya Mufindi|Mufindi]] (wakazi 265,829), [[Wilaya ya Kilolo|Kilolo]] (wakazi 218,130), [[Iringa (mji)|Iringa Mjini]] (wakazi 151,345), na [[Wilaya ya Mafinga|Mafinga Mjini]] (wakazi 51,902).
 
Wenyeji wa mkoa ni hasa [[Wahehe]]; wengine wanatokea makabila ya jirani kama [[Wabena]], [[Wakinga]], [[Wapangwa]], [[Wasangu]], [[Wawanji]], [[Wagogo]] n.k.