Mbinu ya rediokaboni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mbinu wa rediokaboni''' (pia: '''mbinu wa <big>14</big>C''': ing. ''radiocarbon dating'', ''carbon-14 dating'') ni njia ya kisayansi kutambua umri wa mata...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Mbinu wa rediokaboni''' (pia: '''mbinu wa <bigsup>14</bigsup>C''': ing. ''radiocarbon dating'', ''carbon-14 dating'') ni njia ya kisayansi kutambua umri wa [[mata ogania]].
 
Ni muhimu hasa kwa fani ya [[akiolojia]]. Mbinu huu unamruhusu mtaalamu kujua umri wa ubao, mifupa na mabaki mengine yanayopatikana kutokana na vitu au viumbe vya kale. Mbinu huu unahitaji kuwepo kwa mata ogania yaani haiwezi kutambua umri wa vitu kama dhahabu, chuma, mwamba. Hauwezi kuleta matokeo kwa vitu vyenye umri mkubwa kushinda miaka 60,000.
 
Msingi wa mbinu ni kuwepo kwa kaboni katika kila kiumbe; kaboni iko katika mimea yote na pia katika miili ya wanyama. Wakati kiumbe yuko hai na kukua kunapokea kaboni siku kwa siku hasa kwa njia ya chakula na pia upumaji. Kaboni hupatikana kwa aina au isotopi tatu:
<sup>12</sup>C, <sup>13</sup>C na <sup>14</sup>C. <sup>14</sup>C ni isotopi <sup>nururifu</sup> yaani inafutata [[mbunguo nyuklia]].
 
 
== Viungo vya Nje ==
*[http://www.radiocarbon.org/ Radiocarbon - The main international journal of record for research articles and date lists relevant to 14C]