Jamii : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:BushmenSan.jpg|thumb|Jamii ya watu wanaoishi bado kama kale ([[Wasan]] wa [[Afrika Kusini]]).]]
[[File:Detail of Les tres riches heures - March.jpg|thumb|[[Mkulima]] wa [[karne ya 15]] akitumia [[ng'ombe]] na [[plau]].]]
[[File:Dongmen.JPG|thumb|Mfano wa jamii ya watu wanaoishi pamoja ([[China]]).]]
'''Jamii''' ni [[istilahi]] inayoelezea uwepo wa pamoja wa [[mwanadamu]] (kwa pamoja, inataja jumla ya mitandao ya kijamii na nguvu ya mitandao yake).