Tofauti kati ya marekesbisho "Simu"

11 bytes removed ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Alt Telefon.jpg|right|thumbnail|Simu ya zamani.]]
[[Picha:Nokia1100 new.jpg|thumbnail|[[Simu ya mkononi]].]]
'''Simu''' ''(kutoka [[Kiarabu]] <big>سیم</big>, sim, inayomaanisha "waya")'' ni chombo cha [[umeme]]. Matumizi ya simu, ni kwa ajili ya watu wawili walio katika sehemu mbili tofauti na wanaweza kuongea. Kimaana ni chombo cha [[mawasilianoanga]].
 
Matumizi ya simu, ni kwa ajili ya watu wawili walio katika sehemu mbili tofauti na wanaweza kuongea.
Awali simu ilihitajika iunganishwe na nyaya. Lakini leo hii simu inaweza kutumwa kwa kutumia [[redio]]. Hii nayo inaitwa [[nyayatupu]], [[siwaya]] au [[simu bila waya]].
 
Awali simu ilihitajikailihitaji iunganishwe na nyaya. Lakini leo hii simu inaweza kutumwa kwa kutumia [[redio]]. Hii nayo inaitwa [[nyayatupu]], [[siwaya]] au [[simu bila waya]].
 
Watu wengi wanaamini kuwa simu iligunduliwa mnamo [[1876]] na [[Alexander Graham Bell]],<ref name="WDL">{{cite web |url = http://www.wdl.org/en/item/11375/ |title = Alexander Graham Bell Laboratory Notebook, 1875-1876 |website = [[World Digital Library]] |date = 1875-1876 |accessdate = 2013-07-23 }}</ref> [[Uskoti|Mskoti]] mwenye [[umri]] wa miaka 29 aliyeishi nchini [[Marekani]]. Lakini [[Mwitalia]] [[Antonio Meucci]] alianzisha na kuanza kutoa matumizi ya simu toka kunako mwaka wa [[1871]] hukohuko Marekani.
 
Tangu mwisho [[wa [[karne ya 20]] kuna aina mpya ya simu iliyoenea ambayo ni [[simu ya mkononi]]. Ingawa haistahili kweli kuitwa tena "simu" kwa maana asilia kwa sababu hakuna simu ni aina ya [[mtambo]] wa [[mawasiliano]] uliosambaa haraka sana.
 
Katika nchi nyingi za [[Afrika]] simu hizi zina faida ya pekee, kwamba zinaruhusu mawasiliano hata pale ambako nyaya za [[Posta]] hazifikii.