Dini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
3.: Ubuddha - Usikhi - Ujaini - Ujaini<br />
4.: Ayyavali - Upagani mpya - Msalaba wa chuma - Msalaba wa Kislavoni</small>]]
[[File:Urarina shaman B Dean.jpg|thumb|upright|[[Mganga wa kienyeji]], [[Peru]], [[1988]].]]
'''Dini''' (kutoka [[Kiarabu]] '''اﻟدﻴن''', ''tamka: ad-din'') inamaanisha jumla ya [[imani]] ya [[binadamu]] kadhaa pamoja na mafundisho wanayotoa kuhusu yale ambayo wanayazingatia ama kuyasadiki, yaani mambo ya [[roho]], kama vile kuhusiana na [[Mungu]], [[maisha]] na [[uumbaji]].