Umwagiliaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 159.100.71.209 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Ah3kal
No edit summary
Mstari 5:
[[Picha:Irrigation in the Heart of the Sahara.jpg|thumbnail|200px|Umwagiliaji katika [[Sahara]] (Misri) kwa macho ya ndege: kila duara ina kipenyo cha kilomita moja]]
[[Picha:PivotIrrigationOnCotton.jpg|thumbnail|200px|Umwagiliaji wa [[pamba]] kwa njia ya [[kinyunyizo]] kikubwa kinachozunguka nchani]]
 
'''Umwagiliaji''' ni mtindo wa [[kilimo]] wa kupeleka [[maji]] kwa mimea shambani pasipo na [[mvua]] ya kutosha.
 
Hutumiwa katika maeneo [[yabisi]] au wakati mvua ni kidogo. Katika nchi baridi unatumiwa pia kwa kusudi la kulinda mazao dhidi ya [[jalidi]].
 
Ni kilimo ambacho kinasaidia sana, kwa mfano nchi ya [[Misri]] tangu zamani inategemea [[mto]] [[Naili]] katika shughuli zake za umwagiliaji wa mazao.
 
== Chanzo cha maji ==
Line 32 ⟶ 33:
 
Matatizo haya yote yanaonyesha ya kwamba haitoshi kumwagilia mashamba tu na kufurahia mazao mazuri kwa sababu matatizo yataongezeka baada ya miaka kadhaa. Kwa hiyo ni lazima kuangalia vema mbinu za uimwagiliaji inayolingana na mazingira na kutumia maji kidogo kama vile [[umwagiliaji wa matone]].
 
<!-- interwiki -->
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Kilimo]]
[[Jamii:Teknolojia]]