Dar es Salaam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 22:
|longd=39 |longm=17 |longs=0 |longEW=E|coordinates_display=d
}}
'''Dar es Salaam''' ni [[jiji]] kubwa kuliko yote nchini [[Tanzania]]. Pia ni jina la [[Mkoa wa Dar es Salaam]].Dar es Salam ni mji mkongwe na wenye mamilioni ya watu katika nchi ya Tanzania.Dar es salam ndiyo mji wenye vitegea uchumi vingi na ndiyo Ikulu ilipo na ndiyo mji unaoangaliwa
 
Ni [[mji mkuu]] wa ki[[biashara]] wa Tanzania wakati [[Dodoma]] ni [[makao makuu]] ya Tanzania tangu mwaka [[1973]]. Mpango wa kuhamishia [[serikali]] [[mji]]ni Dodoma bado unaendelea, japokuwa bado [[ofisi]] nyingi za serikali, ikiwa ni pamoja na [[Ikulu]], zipo Dar es Saalaam.