Dar es Salaam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 22:
|longd=39 |longm=17 |longs=0 |longEW=E|coordinates_display=d
}}
'''Dar es Salaam''' ni [[jiji]] kubwa kuliko yote nchini [[Tanzania]]. Pia ni jina la [[Mkoa wa Dar es Salaam]]. Dar es SalamSalaam ni mji mkongwe na wenye mamilioni ya watu katika nchi ya Tanzania. Dar es salamSalaam ndiyondio mji wenye vitegea[[vitega uchumi]] vingi na ndiyo Ikulu ilipo na ndiyondio mji unaoangaliwa.
 
Ni [[mji mkuu]] wa ki[[biashara]] wa Tanzania wakati [[Dodoma]] ni [[makao makuu]] ya Tanzania tangu mwaka [[1973]]. Mpango wa kuhamishia [[serikali]] [[mji]]ni Dodoma bado unaendelea, japokuwa bado [[ofisi]] nyingi za serikali, ikiwa ni pamoja na [[Ikulu]], zipo Dar es Saalaam.