Uainishaji wa kisayansi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 9:
 
== Majina ya Kisayansi ==
[[File:Carl von Linné.jpg|thumb|left|[[Carl Linnaeus]], anayejulikana kama baba wa uainishaji wa kisayansi.]]
Kila spishi ya viumbehai inapewa [[jina la kisayansi]] lenye [[neno|maneno]] mawili kufuatana na muundo wa [[uainishaji]]. Jina la Kisayansi linaanza kwa kutaja [[jenasi]] inayoandikwa kwa [[herufi]] kubwa, halafu neno la pili kama sehemu maalumu ya jina la spishi ile. Maneno hayo huandikwa kwa [[herufi za italiki]]. Kwa mabano hufuata jina la mtaalamu wa spishi pamoja na [[mwaka]] alioandika maelezo yake.