Tofauti kati ya marekesbisho "Afya"

154 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
[[File:Borch Lady washing hands.jpg|thumb|200px|[[Mwanamke]] akinawa [[mikono]] [[1655]] hivi.]]
[[File:Smallpox eradication team.jpg|right|thumb|200px|[[Donald Henderson]] na wenzake katika kukinga watu dhidi ya [[ndui]] mwaka [[1966]].]]
'''Afya''' ni hali ya kujisikia vizuri ki[[mwili]], ki[[akili]], ki[[roho]] na ki[[utu]] pia, bila kusumbuliwa na [[ugonjwa]] wowote.
 
Afya ya [[binadamu]] itakuwa njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya. Hiyo inajumuisha mlo kamili, yaani [[chakula]] chenye virutubisho vyote, vikiwemo [[protini]], [[wanga]] na [[fati]] [hiyo iwe katika asilimia ndogo sana].
 
Pia tunatakiwa kuwa na afya ya kiroho yaani kuishi kadiri ya mafundisho ya [[Mwenyezi Mungu]] kama vile: kupendana, kuthaminiana na kuacha [[dhambi]]. Tena: mara nyingi hizo zinadhuru afya ya mwili pia.
 
== Fafanuzi za afya ==
603

edits