Mnavu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Solanum americanum
Nyongeza matini
Mstari 15:
| bingwa_wa_spishi = [[Carolus Linnaeus|L.]]
}}
'''Mnavu''' au '''mnafu''' (''Solanum nigrum'') ni [[mmea]] katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Solanaceae]]. Kwa kawaida huu ni mmea wa pori, lakini unapandwa mahali pengi katika [[Afrika ya Mashariki]]. Mingi ya mimea ya pori ina [[sumu]], [[tunda|matunda]] mabichi hasa. Kula kwa [[beri]] bichi na mara nyingi [[jani|majani]] pia kunaweza kusababisha kifo cha [[mtoto|watoto]] na [[ufugaji|mifugo]]. Lakini aina za mnavu zinazopandwa zinaweza kuliwa baada ya kuzipika. [[Jani|Majani]] huuzwa kwa jina la [[manavu]]. Matunda mabivu yanaweza kuliwa kwa kawaida bila kupikwa, aina zenye matunda mekundu au yenye rangi ya machungwa hasa (rangi ya kawaida ni nyeusi).
 
Kuna [[spishi]] nyingine, ''Solanum americanum'', ambayo imewasilishwa katika [[Afrika]] na ambayo inafanana sana na ''S. nigrum''. Watu wengi hawawezi kulinganua spishi hizi na mbili zote huitwa mnavu. Hata ''S. americanum'' hulika.