Mbinu ya rediokaboni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
 
=== Misingi ya kisayansi ===
Kaboni hupatikana hewani kwa kawaida kwa umbo thabiti la <sup>12</sup>C. Lakini asilimia ndogo sana zaya kaboni iliyoko hewani inapigwa na mnururisho wa jua na kubadilika kuwa isotopi nururifu ya <sup>14</sup>C. Atomi hizi nururifu huitwa isotopi. Kwenye hewa ya kawaida kuna uhusiano kati ya <sup>12</sup>C na <sup>14</sup>C ambayo ni kati ya atomi 1,000,000,000 za <sup>12</sup>C kuna atomi 1 ya <sup>14</sup>C pekee.
Isotopi za kaboni zinajiunga kirahisi katika [[muungo kemia]] na [[oksijeni]] hivyo kuunda [[molekuli]] za [[dioksidi kabonia]] (CO<sub>2</sub>). Hii CO<sub>2</sub> nururifu ni sehemu asilia ya [[angahewa]] ya dunia. Hivyo kila [[mmea]] duniani unapokea kiwango kidogo cha mata hii tena kila siku sawa jinsi inavyopokea CO<sub>2</sub> ya kawaida.
 
Sawa na atomi nururifu zote isotopi hizi si thabiti zinayeyuka na kurudi katika hali thabiti, lakini si zote mara moja. Sayansi imegundua kipimo cha „[[nusumaisha]]“ kwa kila elementi. Nusumaisha inataja muda ambako nusu ya atomi nururifu inabadilika na kuwa elementi thabiti tena. Kwa kaboni <sup>14</sup>C nusumaisha ni takriban miaka 5,730.
Hata isotopi za <sup>14</sup>C hewani zinayeyuka lakini kiwango kinachopotea kinaundwa upya mfululizo kwa hiyi kuna daima kiwango fulani cha <sup>14</sup>C na hivyo pia dioksidi kabonia nururifu hewani.
 
Mimea inapokea kila siku CO<sub>2</sub> pamoja na aina nururifu na kuiingiza katika miili yao. Wanyama wala majani wanapokea ile kaboni (isiyo nururifu na pia nururifu) kwa njia ya lula majani, na wanyama wala nyama wanaipokea kupitia nyama ya wanyama wengine wanaokula.
Wakati mmea au mnyama anakufa hapumui tena. Maana yake ni kiwango cha kaboni haiongezeki tena lakini <sup>14</sup>C iliyoingia mwilini hadi kifo inayeyuka kama kawaida. Kwa hiyo kama ubao, mifupa au meno vinahifadhiwa kwa miaka mielfu bado kuna kiasi fulani kilichopungua cha <sup>14</sup>C ndani yao na inawezekana kukipima. Sasa kiasi hiki kinalinganishwa na kiasi cha kaboni ya kawaida yaani <sup>12</sup>C katika mata hii. Kwa kawaida kuna atomi 1 ya <sup>14</sup>C katika bilioni moja ya atomi za <sup>12</sup>C. Kiasi jinsi gani idadi ya <sup>14</sup>C imepungua kulingana na <sup>12</sup>C kinaonyesha ni muda gani ubao au mfupa uliacha kupokea CO<sub>2</sub> (ya aina zote mbili yaani ya kawaida na nururifu).
 
Mbinu huu wa rediokaboni unaweza kutambua umri hadi miaka 50-60,000 hivi. Kama sampuli ina miaka zaidi ya hii haiwezekani kwa sababu kiasi cha <sup>14</sup>C kimeshapungua mno kutokana na mchakato wa kuyeyuka („mbunguo nyuklia“). Kama kiwango cha mata ni kidogo mno hata nii ni tatizo. Kwa hiyo mbinu wa <sup>14</sup>C haileti matokeo kwa swali je umri wa [[chokaa mawe]] ni upi? kwa sababu umri huo ni miaka mamilioni.
 
== Viungo vya Nje ==