Mbinu ya rediokaboni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Msingi wa mbinu ni kuwepo kwa kaboni katika kila kiumbe; na kupungua kwa idadi ya [[isotopi]] za kaboni aina za <sup>14</sup>C kwa sababu idadi za atomi nururifu inapungua kadri ya [[mbunguo nyuklia]].Kutokana na asilimia za kaboni nururifu ya <sup>14</sup>C iliyobaki katika mata ogania inawezekana kukadiria umri wake.
 
Mbinu huu wa upimaji uligunduliwa mnamo 1946 na mtaalamu Mmarekani [[Willard Frank Libby]] al<nowiki/>iyepokea [[tuzo ya Nobel ya Kemia]] ya 1960. Libby aliweza kuonyesha usahihi wa mbinu wake kwa kutambua umri wa ubao wa jeneza na wa boti ya Misri ya Kale. Jeneza na boti zilihifadhiwa katika makaburi ya Misri ambako vitu vingi vimekaa tangu miaka mielfu bila kuoza kutokana na hewa kame ya nchi hii. Hali nzuri ya yaliyomo ya makaburi ya Misri imetunza pia maandiko juu ya vitu hivi na hivyo mara nyingi pia kutaja mwaka wa kifo cha mhusika wa kaburi hivyo kutaja umri wa kaburi. upimaji wa Libby ulilingana na umri uliojulikana tayari hivyo kuthebitisha uwezo wa mbinu wake.<ref>http://hbar.phys.msu.ru/gorm/fomenko/libby.htm Age determinations by radiocarbon content: checks with samples of known age J. R. Arnold and W. F. Libby Institute for Nuclear Studies, University of Chicago, Chicago, Illinois SCIENCE December 23, 1949, Vol. 110</ref>
Mbinu huu wa upimaji uligunduliwa mnamo 1946 na mtaalamu Mmarekani [[Willard Frank Libby]] al<nowiki/>iyepokea [[tuzo ya Nobel ya Kemia]] ya 1960
 
=== Misingi ya kisayansi ===