Mbinu ya rediokaboni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 23:
Wakati mmea au mnyama anakufa hapumui tena. Maana yake kiwango cha kaboni hakiongezeki tena lakini <sup>14</sup>C iliyoingia mwilini hadi kifo inayeyuka kama kawaida. Kwa hiyo kama ubao, mifupa au meno vinahifadhiwa kwa miaka mielfu bado kuna kiasi kidogo zaidi cha <sup>14</sup>C ndani yao na inawezekana kukipima. Sasa kiasi hiki kinalinganishwa na kiasi cha kaboni ya kawaida yaani <sup>12</sup>C katika mata hii. Kwa kawaida kuna atomi 1 ya <sup>14</sup>C katika bilioni moja ya atomi za <sup>12</sup>C. Kiasi jinsi gani idadi ya <sup>14</sup>C imepungua kulingana na <sup>12</sup>C kinaonyesha ni muda gani ubao au mfupa uliacha kupokea CO<sub>2</sub> (ya aina zote mbili yaani ya kawaida na nururifu).
 
=== Mipaka wa uwezo wa kugundua umri ===
Mbinu huu wa rediokaboni unaweza kutambua umri hadi miaka 50-60,000 hivi. Kama sampuli ina miaka zaidi ya hii haiwezekani kwa sababu kiasi cha <sup>14</sup>C kimeshapungua mno kutokana na mchakato wa kuyeyuka („mbunguo nyuklia“). Kama kiwango cha mata ni kidogo mno hata nii ni tatizo. Kwa hiyo mbinu wa <sup>14</sup>C haileti matokeo kwa swali je umri wa [[chokaa mawe]] ni upi? kwa sababu umri huo ni miaka mamilioni.
 
== Viungo vya Nje ==
*[http://www.radiocarbon.org/ Radiocarbon - The main international journal of record for research articles and date lists relevant to 14C]